Kama cha Mwanaume kinaliwa karibu leo ule bata!

Kama cha Mwanaume kinaliwa karibu leo ule bata!

Yericko Nyerere

Platinum Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,519
Tumekuwa bize na kulipigania taifa hili dhidi ya wakwasi lakini leo nahitaji kupumzika!
Nitakuwa pembezoni mwa fukwe za jiji la Dar es Salaam ni kila bata
Natoa nafasi kwa wanawake tu kujumuika nami ila kama cha mwanaume kinaliwa wakiume wote kharrrribu!!!

Kumbe utakuwa unakula bata..hivi bata hapa jijini wanapatikana kwenye ufukwe upi na mimi nije kula?

Kumbe utakuwa unakula bata..hivi bata hapa jijini wanapatikana kwenye ufukwe upi na mimi nije kula?

Ahaahaaahaa Rejao kwa mara ya kwanza umenifanya nicheke japo huwa tunapishana ktk hoja mbalimbali! Oky nitakuwa beach moja inaitwa South Beach njoo ule bata lakini vigezo na masharti kuzingatiwa!!

Napita. Sina mchango wowote.

Njiwa na tu ndo wanapatikana kwa wingi kule, kwinyoo wapo kidogo sana..

Ahaahaa njoo uone mkuu bata wapo mpaka bata mzinga na wakizungu wapo!!

Ahaahaaahaa Rejao kwa mara ya kwanza umenifanya nicheke japo huwa tunapishana ktk hoja mbalimbali! Oky nitakuwa beach moja inaitwa South Beach njoo ule bata lakini vigezo na masharti kuzingatiwa!!

ANGALIA MUHUNDI ASIKULIPUE VIBERITI HAKIKISHA UMEVAA BAN YAKO

ANGALIA MUHUNDI ASIKULIPUE VIBERITI HAKIKISHA UMEVAA BAN YAKO

Teheee!teheee!teheee! Alifanikiwa kuchoma moto yuleyule kwangu hawezi banaa!

Vp upo salama lakini?

Jamani beach kuzuri yani siku yangu inakwenda vizuri nimesaha karaha zote za serikali yetu!

Teheee!teheee!teheee! Alifanikiwa kuchoma moto yuleyule kwangu hawezi banaa!

Vp upo salama lakini?

GONJWA GONJWA NINA DOSE YA QUININE!!! NIPO HOOOI

Na ukitoka hapo kero inaanzia kwenye foleni ya pantoni!kero inaanza upyaaaa yaani unaumia na unasahau upepo wote ulokula hahahahaaa

Rejao na ritz1, isnt't time you should be organizing Igunga's campaign?

Back
Top Bottom