Upo sahihi mkuu. Katika kundi la watu 10 unaweza kuta hakuna hata mmoja aliyevaa barakoa kwa usahihi.Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!
Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!
Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!
Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?
Sasa unapata picha gani kwenye condom si kasheshe?Upo sahihi mkuu. Katika kundi la watu 10 unaweza kuta hakuna hata mmoja aliyevaa barakoa kwa usahihi.
Bro kama barakoa mtu inamshinda, hiyo elimu ya condom si nikupoteza mda!Ingekua poa zaidi kama ungetoa elimu badala ya kuishia kushambulia tu.
Sio rahisi kujua vitu vyote mkuu, ndio maana kuna wataalamu wa kada mbalimbali. Wahamasishaji wa uvaaji wa kondomu na wa barakoa hutumia mbinu tofauti mkuu sio rahisi kujua vyote kwa usahihi.
Toa elimu mkuu.
Ni rahisi kwako mkuu, kwa mfano mi zamani nilijuaga kuvaa gloves ni unavaa tu vyovyote lakini kumbe kuna process zake za kuvaa, japo inaonekana ni kitu cha kawaida lakini kina hatua zake na utaalamu wake japo wengi huona ni kawaida tu .Bro kama barakoa mtu inamshinda, hiyo elimu ya condom si nikupoteza mda!
Ebu waza barakoa ilivyo rahisi inamshinda ...condom atawezaweza kwa mfano!
Mbona kwenye kujamiaana sijawahi ona mtu kakosea kutia, akaweka hata kwapani?Ni rahisi kwako mkuu, kwa mfano mi zamani nilijuaga kuvaa gloves ni unavaa tu vyovyote lakini kumbe kuna process zake za kuvaa, japo inaonekana ni kitu cha kawaida lakini kina hatua zake na utaalamu wake japo wengi huona ni kawaida tu .
Barakoa pia ni mambo ya afya, si ajabu kwa mtu kutojua kuvaa mkuu.
Toa elimu mkuu, kama unajua elekeza tu sio kosa
Daah mkuu hiyo ni nature!! Ni natural kiumbe yeyote hafundishwi kusex.Mbona kwenye kujamiaana sijawahi ona mtu kakosea kutia, akaweka hata kwapani?
Hayo huwa wanafundishwa na nani,? Na wapi pa kuchomeka?
MmhDaah mkuu hiyo ni nature!! Ni natural kiumbe yeyote hafundishwi kusex.
Hivi vingine ambavyo sio vya kiasili kufundishwa ni muhimu.
Je condom inakuaje balaa ni kubwa unaweza pata picha kumbe kuna kaz ya ziadaWabongo huwa hawajali
Hiyo ni reflection ya mambo mengi kutofanywa kwa usahihi.. Hata dawa tunazoandikiwa hospital wengi hawazingatii mashartiKuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!
Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!
Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha hata kondomu sijui kama huvaliwa ipasavyo!
Kwasababu, kama barakoa tu inayohitaji kupachika inakosewa, Itakuwaje kwenye condom inayohitaji maandalizi, timing za mashine kusimama vizuri, uminyaji wa chuchu kuzuia hewa n.k?
Huko mbali sana kwenye dawa!Hiyo ni reflection ya mambo mengi kutofanywa kwa usahihi.. Hata dawa tunazoandikiwa hospital wengi hawazingatii masharti
Duh kwahiyo kuvaa barakoa inahitaji miaka 10 kuelekezana? Sasa kama kitu cha kubandika sikioni tu ni shida!Condom zimekuwepo miaka mingi na elimu imeshatolewa sana...itakuwa ajabu kuwa na idadi kubwa ya watu wasiojua namna ya kuweka condom kwenye uume...
Barakoa kwa matumizi ya uma zina kama miaka miwili, pia zipo za standards tofauti tofauti kulingana na watengenezaji (homemade au za viwandani)...
Mafunzo ya uvaaji wake hayajawa endelevu sana
Duh kwahiyo kuvaa barakoa inahitaji miaka 10 kuelekezana? Sasa kama kitu cha kubandika sikioni tu ni shida!
Huko kwingine hali si itakuwa mbaya zaidi!
HahaUsipovaa kondomu vizuri inajulikana ni kupata STDs au mimba zisizotarajiwa, wimbo huo unaimbwa na umeimbwa sana...
Hulka zetu wanadamu zipo hivyo, tumahitaji kuambiwa tena na tena na tena hadi mazoea yatapokuwa tabia...
Kwenye hilo la masks nalo muda mrefu ukipita watu watazingatia tu, lakini pia kumbuka kuna watu hawawezi vaa hayo madude muda mrefu kwa sababu za kiafya yaani wanahitaji oksijeni nyingi
Dmkali ungeweka na kapicha ka kukosewa kuvaliwa barakoa mkuuKuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!