Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

Afu kile kubabu cha Tanga kile wasikiendekeze! Samia wala asiwe anapokea simu zake za kinafki kama anajipenda![emoji848][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064] ni kipi icho kibabu cha Tanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Muda ni Mwalimu mzuri. Hata yanayokuja yanabeba yale yale yaliyopita. Muda unabadilika haraka. Madaraka yamewakimbia wengi waliofikiri ni mali yao.
Mshana, Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
Muda ni Mwalimu mzuri. Hata yanayokuja yanabeba yale yale yaliyopita. Muda unabadilika haraka. Madaraka yamewakimbia wengi waliofikiri ni mali yao.
Mshana, Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
Muda ni Mwalimu mzuri. Hata yanayokuja yanabeba yale yale yaliyopita. Muda unabadilika haraka. Madaraka yamewakimbia wengi waliofikiri ni mali yao.[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Naamini bado kuna surprise nyingi sana tunaendelea kuziona. Yangu macho
 
CCM ya aliyoacha Magufuli ina nguvu sana. Spika ana nguvu sana labda wa muondoe na Spika
Spika hana nguvu kama yupo kinyume na raisi. Raisi ndo kila kitu unless jeshi halimtii, ukitishia kupiga kura ya kutokuwa na imani na raisi bunge linavunjwa uchaguzi unaitishwa. Na hapo ni hatari sana kwa wabunge hawawezi kubali hilo. Halafu spika ni kipenzi cha wabunge kuliko raisi? Akitoa oda watatii? Watamfata?
 
Naomba nikujibu ccm makinikia... Ni ile ccm ya marehemu, watu wasio na background ya chama
Halafu kuna ccm maslahi hawa wako kotekote kama sime

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapozungumzia CCM asili ni hipi? Ambayo unaiona inaweza kulitii azimio la Arusha lililofytika? Embu nitajia majina ya watu wa5 tu wa CCM asilia angalau nitapata picha ao watu ni wakina nani na wana tabia zipi?
 
Jakaya;- bashiru anafanya nini humu ndani?

Mangula;- ooh ni katibu bado hajakabidhi sijui nini

Jakaya;- ahaa, atoke bwana hawezi kuwa sehemu mbili huyu ni sehemu ya serikali atoke nje.
Chukua vitu vyako toka bwana!

Bashiru πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸ˜†πŸ˜†
 
CCM ya wasukuma au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

60% ya mawaziri Wasukuma
 
Na kama kuna wanafiki wa kifo ni CHADEMA na wapinzani wengine. Wanakesha kupiga propaganda ili system ya JPM iondoke na CCM ya zamani irudi.

Sababu wanajua wazi CCM ya JPM wapinzani uchwara kama tulionao walivyogaragazwa!

Wanaombea CCM ya ubabaishaji irudi ili angalau ubabaishaji wao nao upate nafasi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…