Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Blood alcohol level sasa hivi weshachelewa; itakuwa imeshashuka. Ila kuna taarifa kuwa kuna surveillance video ikionyesha mwenyekiti akiteleza kwenye ngazi na kuanguka akiwa na nyumba ndogo ambayo ilikimbia baada ya tukio hilo; nadhani video hiyo ndiyo ya kutolewa
 
Hv kweli ukiondoa uccm na uchadema kweli hospitality ya mission ya private DMC unalinganisha na General hosp? Happ general watu wanalala wawili wawili watu wanakufa kwenye foleni Leo unataka kumfananisha na hospital ya wazungu,nikuibie Siri hio DMC ya ntyuka alikopelekwa Mbowe ndo iliingia mkataba na bunge kuwatibu kipindi chote wakiwa DODOMA why hawakuingia mkataba na general hospital?
 
Hoja nzuri lakini utaishia kutukanwa
 
Hivi mtu apigwe kabisa hata michubuko hana. Kichwa kizima kabisa. Avunjike tu mguu ?Huyu pombe ndo imemsababishia haya. Kipigo ;Jamaa wangeconcertrate kichwani,kifuani,mwili wote kwa ujumla.
 
Mtu mzima na akili zake anaandika mada ya kipumbavu kama hii!Kuna siku mtakuja hapa na kusema kuwa yote mliyokuwa mnasema na kuunga mkono mlikuwa wrong, mark my words!
 
Bora ungesema mwenyekiti jiwe apimwe kuona kama ARV zinasaidia kiasi gani kupambana na ngoma
 
Kuwa alilewa hai rule out possibility ya kufanyiwa criminal acts. Ina maana unataka kusema kuwa ikiwa mtu kalewa akiuliwa ripoti ya corona itasema alikuwa kalewa anf thus no further action!
 
Kwahiyo aliyekunywa akalewa kwa starehe zake no ruksa kushambuliwa?
Nchi tunaifanya kuwa ya hovyo Sana,mijitu imekuwa na roho mbaya ajabu,yote haya no kwasababu ya kujipendekeza na uroho Wa madaraka.
But,hakuna linalodumu milele,yote ya chini ya jua no ubatili mtupu.
 

Usalama kwanza ,hata wakati wa Mh Lissu haya yali jitokeza.
 
Ata kama hospitali watathibitisha alikua na kiasi kikubwa cha pombe...au kama kweli alienda kunywa pombe na wenzake.
Haiondoi uhalisia wa tukio kwamba alipigwa
Yani unataka uaminishe watu kua hajapigwa kisa alikua amelewa
nje ya majukumu ya kazi na wadhifa wake mbowe ni binadamu kama Mimi na wewe...jitu zima utalisikia alikua na mwanamke...yeye ni mtu kaumbwa kwa damu na nyama kama wewe.
 
Kwà General naweza kukubali hoja yako ikawa na mantiki kidogo japo naamin General pale mabadiliko yapo makubwa Sana tu hasa kwasasahv!!

Swali linakuja Kama Bunge imeingia mkataba na DCMC why Lissu, Mwigulu, Kishoa, Bashe Hawa wachache tu Kati ya wengi hawakupelekwa DCMC!?

Na vipi kuhusu BMH!??
 
Kwa hiyo akili yako inakuambia vyote viwili haviwezi kua vilitokea kwa pamoja? Yaani haiwezi kua ni kweli alilewa akapigwa? Fikirisha ubongo wako zaidi Bw. J
 
Hii kali Ngabu! Akipima alcohol level kwenye damu inakuwaje? Kwamba akikutwa na kiasi fulani cha ulevi kwenye damu tayari ina-imply Mbowe alianguka? Comeon Nyani! Mtu akinywa pombe hawezi kuvamiwa na kupigwa au iwapo mtu hajalewa hawezi kuanguka na kuumia mguu?
Kwa kiwango cha mtu wa aina yako nilitarajia utoe pendekezo kuwa Mbowe afanyiwe pathologic fracture analysis!
 
OK tuchukulie kama alikunywa pombe siku ile.Lakini siamini kama alikunywa kwa kiwango mpaka cha kuwa hajiwezi.Hao washambuliaji wanaweza kutumia kitendo cha Mbowe kunywa pombe ndio wakamshambulia!
 
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake

Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Nina hakika sayansi inaweza kutoa majibu ya (1) kama ameanguka au kapigwa na pia (2) kama alilewa kupitiliza au la. Nakama wana CCTV zinazofanya kazi kama ambavyo ungetegemea kwenye eneo wanaloishi viongozi basi mzizi wa fitna ungekatwa. Sidhani kama kuna litakalo fanyika kati ya hayo kwa sababu za kukosa uwazi ili kila mmoja apige kelele zake.
 
Akome kulewa sasa. Na akome kufukuzia wake za watu.
Sasa ndio nimeongea. You have covered all the bases. Alianguka mwenyewe kwa sababu alikuwa amelewa. Halafu akapigwa na mume wa mwanamke aliyekuwa anamtaka. Na umesema alikuwa anamfukuzia na sio alikuwa anatembea na mke wa mtu ili kuepuka haja ya kuthibitisha kama kweli alikuwa anatembea na wake za watu. Hii kweli ni pathetic. Lakini haishangazi maana wenzako wanadai Lissu alijipiga mwenyewe risasi. Au wenzake walimpiga risasi. Na vyombo vya usalama vinashindwa kukamilisha uchunguzi kwa sababu yuko nje za nchi. You are better than this.

Amandla...
 
Pasingekuwa na video, tayari narrative ingekuwa kuwa huyu jamaa alikuwa bouncer na aliwahi kufungwa kwa armed robbery kwa hiyo polisi walikuwa wanahofia uhai wao. Zingewekwa mug shots zake, grand jury ingeundwa na polisi wangeonekana kweli walikuwa provoked. Kama yule mzee wa miaka 75 aliyesukumizwa na polisi Buffalo na kuumia vibaya. Polisi walisema kwanza alianguka mwenyewe lakini video imewaumbua. Sasa wakina Trump wanasema alikuwa mwanachama wa Antifa na aliwashambulia polisi. Go figure. Badala ya kujipinda kama pretzel wakitafuta namna ya kumtupia lawama victim, wangeachia uchunguzi ukamilishwe ndio watoe msimamo wao. Walianza vizuri kwa kwenda kumtaka hali lakini kwa kuachia na kushiriki kwenye hizi conspiracy theories kunatia doa matendo yao. Kinachofuata ni kukataa kulipa gharama za tiba kwa sababu alienda kwenye kijihospitali ka kichochoroni na alikodishiwe ndege bila kuwa na umuhimu wa kufanya hivyo. Kama alivyosema mbunge mwenzake, angepelekwa kwake angemtibu kwa dawa za kienyeji.

Amandla...
 
Wewe huna akili ?
Mtu aliyelewa chakari hawezi kupigwa?

Amandla...
Kumbe kuandika na kuzungumza kithungu kwa ufasaha haimanishi una akili, ndio maana hata wenye lugha yao wanavilaza pia.

Jitahidi sana kama hujaoa, tafuta mwanamke mwenye akili sana ili uweze kubalance
Kwa huyu mimi nilishanyyosha mikono. Ukiona nimenyoosha mikono mimi ujue hapo kuna kazi. Mwenzake Kiranga huwa ana mijadla ya kuwepo au kutokuwepo Mungu, zaidi ya decade tunabishana, lakini sijawahi kunyoosha mikono kwake, ila kwa huyu hapana
Halafu sasa ujinga wake ni kwamba yeye anaona kukosoa na kuwasema vibaya viongozi ni kick, na ukimwangalia vizuri unamuona kabisa yuko upande wa hawa wanaoweza kuwa wanatikisa maghorofa kwa ajili ya kupata data za utafiti wa oil na gas. Kuna mmoja wa watu hawa aliwahi kunihisi kama niko kinyume naye humu humu JF halafu hapo hapo akanirusha tusi la nguoni humu humu mtandaoni
 


Jaribu kuwa serious, mbona lisu hakupelekwa ntyuka baada ya lile shambulizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…