chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,369
- 27,785
Inatokea umeishi na mpenzi wako wa ME/KE katika mahusiano kwa miaka kadhaa hivi ambapo mlianza kufurahia maraha ya mapenzi bila kukwazana au kutofautiana kwa namna yoyote ile ghafla mmoja wenu anampata mpenzi mwingine na anakuja kukuambia ghafla kwamba hataki kuendelea na mahusiano na wewe tena pasipo kukwambia sababu iliyompelekea kufanya hivyo ni nini hasa,. Je utachukua hatua gani na mlipendana kwa dhati?,. Mchango tafadhali