Zitanisumbua mimi au wewe?
Mimi napenda vitu vinavyonisumbua (kama lugha za kigeni) kwa sababu ndivyo vinavyopanua wigo wa uelewa wangu.
Labda tatizo letu wengi si kwamba tunapenda vitu vinavyotusumbua, bali hatupendi vitu vinavyotusumbua.
Hata Roma ilijengwa kwa kusumbuka.
Bravo, kuna ujumbe mzito sana kwenye hii posti yako ila navyowafahamu watanzania kwa kutopenda visivyosumbua ni wachache sana wataupata.