MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Asali Feki inajulikana kwa ama kutumia Njiti ya Kiberiti kwa Kuichovya katika Asali na Kuiwasha ambapo ukiona haiwaki jua ni Feki au unaichukua hiyo Asali unaimimina kidogo katika Karatasi na ukiona kwa chini ( nyuma ) ya hiyo Karatasi hakuna Unyevu au hakujaloana jua ni Feki hiyo na mrudishie huyo Muuzaji huku ukimsindikiza bonge la Kibao na ukiweza hata Ngumi pia.
Mnaojua kuigundua Bangi / Bange Feki naomba Msaada wenu tafadhali kwani Mtu kasema ile aliyokuwa akiivuta Bob Marley ndiyo ilikuwa yenyewe ila hizi za Temeke, Ilala na Kinondoni si zenyewe na ni 100% Feki.