Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu 💔😢
1749025023129.jpg
 
Mambo ya Walawi 11:7-8

Nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. 8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Hiyo ni Biblia. Mwenye kujua Quran atuwekee mistari hapa. Daktari naye aje atuambie kuhusu nyama ya Nguruwe, kisha wewe na akili zako utaamua.... halazimishwi mtu ni kupeana elimu tu.
 
Back
Top Bottom