Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

Mambo ya Walawi 11:7-8

Nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. 8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu
Sababu umekuja uku Wacha twende ivyo ivyo mkuu.
Alie andika ayo n nani?
Tuanzie apo
 
Back
Top Bottom