Kali ya weekend: Emergency landing...

Kali ya weekend: Emergency landing...

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,071
Reaction score
828,864
Ndege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi.
IMG-20190819-WA0114.jpeg
IMG-20190819-WA0115.jpeg
IMG-20190819-WA0113.jpeg
IMG-20190819-WA0111.jpeg
 
Huwa nawaza ile friction force due to viscosity ya air hawapatagi umeme tuli kwenye miili yao, pindi wanapokuja kusaidiwa na kushikwa ningeshauri wasaidiaji kuvaa grove kuzuia kupatwa na shot.🙂
 
Back
Top Bottom