Kali ya weekend: Emergency landing...

Zionist

JF-Expert Member
Dec 5, 2017
1,613
2,000
Nina mchepuko ana utalaamu wa hii kitu, najua hana mapenzi na social media, daah..!! Kanizungusha hii dunia mpaka raha..!! Ila ana wivu huyo usipime..!! Nakumbuka Hollywood tulifanya manyanyaso ni balaa...!!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,283

namba force

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
745
500
Hakuna kitu Kama hicho Kama ni mdondoko angepiga kichwa hapo au tumbo si kulala kwa pozi hilo.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
12,100
2,000
Ndege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi. View attachment 1184941 View attachment 1184942 View attachment 1184943 View attachment 1184944

Hakuna hivi vitu...

Shetani hayupo,majini hayapo!

Mungu hayupo!

Labda uniambie kuna some physical phenomenon unayofanya mechanically ungo kua na aerofoil behaviour kupaa,otherwise ni mmama alikua anajaribu kupaa na ungo which laws of physics can not be suspended!

Hakuna kitu kama hicho!

Ni mtu alijaribu kufanya upaaji ambao mechanically ni impossible.Kaanguka kaumia then mkamkuta hapo!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,283
2,000
Hakuna kitu Kama hicho Kama ni mdondoko angepiga kichwa hapo au tumbo si kulala kwa pozi hilo.
Hakuna hivi vitu...

Shetani hayupo,majini hayapo!

Mungu hayupo!

Labda uniambie kuna some physical phenomenon unayofanya mechanically ungo kua na aerofoil behaviour kupaa,otherwise ni mmama alikua anajaribu kupaa na ungo which laws of physics can not be suspended!

Hakuna kitu kama hicho!

Ni mtu alijaribu kufanya upaaji ambao mechanically ni impossible.Kaanguka kaumia then mkamkuta hapo!
Ni rahisi sana kupinga ukiwa nyuma ya keyboard bila kutoa ithibati za kupinga...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom