Kali nyingine hii hapa

Kali nyingine hii hapa

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,603
Reaction score
14,398
Mhaya alitangaza kuwa anatibu magonjwa yote kwa kwa tsh 100,000,
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako na kukuongeza laki nyingine.
Basi mchaga akaona hii ni fursa ya kujipatia hela ya dezo, akaenda kutibiwa.
Mhaya: unaumwa nini?
Mchaga: Sina taste kabisa.
Mhaya : Nesi naomba kikopo namba 20 mpe anywe huyu.
Mchaga : (anakunywa) Ptu puuh puuh uu si mkojo huu?
Mhaya ; Umepona karibu tena
Mchaga hakukubali kuliwa hela yake kesho yake akarudi tena
Mchaga : Nina tatizo la kumbukumbu nasahau sahau sana.
Mhaya : Nesi naomba kikopo namba 20 mpe anywe huyu.
Mchaga : Asa Chalii angu hicho si cha jana cha mkojo?
Mhaya : Umepona kumbukumbu unayo karibu tena.
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom