Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Ashukuriwe Mungu kwa matendo yake makuu,ikiwemo kumchukua bwana yule. La sivyo tungekua zaid ya North Korea au Mobutu,
 
Yaamipaka

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata mfagiaji na mtunza bustani watakuwa na ofisi gorofani

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu!
 
Naamin Tanexco haikua priority yao kujenga huko..kama aliyekua na wizra ni wa chato +yule incharge..Tanexco hawakua na option zaid ya kufanya huo ujenz..chato ingekua transformed kutoka kijij hadi jiji tena lenye national Park kama Nairobi
 
Wabadilishe matumizi take na kuwa aidha shule au kituo cha afya
 
Naamin Tanexco haikua priority yao kujenga huko..kama aliyekua na wizra ni wa chato +yule incharge..Tanexco hawakua na option zaid ya kufanya huo ujenz..chato ingekua transformed kutoka kijij hadi jiji tena lenye national Park kama Nairobi
Ingekuwa vizuri sana
 
Agiza kitimoto ya kuchoma na bia baridi kwa mangi nakuja kulipa
 
Halafu tukimsema marehemu yule tunaonekana wabaya tutaendelea kumcharaza angali amekufa hadi afufuke tu
 
Hizo zingine zilijengwa mwaka gani
Hilo jengo la Tanesco Chato linakadiriwa kudumu miaka mingapi?
 
Inawezekana CHATTO ilikuwa inaenda kuwa kitovu cha umeme Kanda ya Ziwa
Si hiyo tu,hospitali ya kanda,Airport kubwa,Vyuo vikuu,hata junction ya SGR kwenda Burundi, Rwanda na Uganda,BOT,Makao makuu ya TANAPA,Commercial capital.na labda mji mkuu.
 
Ndio maana mama kamwaga kaona isiwe tabu... ila tungeendelea na awamu ile tungeona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…