Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Humu ndani watu wanatoa Lawama kwa Kalemani ila hawatoi pongezi kwa kuliacha shirika limetengeneza faida ya 45B 2020 kutoka hasara ya zaidi ya 300B 2017...mnyonge myongeni ila haki yake mpeni.
 
Watu wanataka kuona majengo ya serikali ni bweni kama lile la ofisi ya kata ya lumumba.
 
JPM alikua anatumia nguvu kubwa kuinua Chato 😃😃😃 "mcheza kwao hutunzwa"
Walimu wa kiswahili zama hizi za shule za kata ni bure kabisa! Hii kitu nimeona hadi waandishi wakubwa na hata watangazaji wa TVs wanakosea sana !
Mcheza kwao hutuzwa√ na siyo Mcheza kwao hutunzwa× ! Neno tuzwa ni kutokana na neno tuzo! Kuweni serious!
 
Haya bwana mkubwa! Ila bado sana mji umepoa ishukuru serkali ya magufuli kuwaletea rami!
Magugu ni kijiji mkuu, sema Babati town uliishi mtaa gani? lami tupu, maji, umeme wa uhakika na mazingira bora kabisa ya ubaridi baridi
 
Nyinyi mnaomtukana Marehemu ndo mnamponza mzee Mbowe.

Nadhani atakaa huko Hadi upepo wa matusi kwa marehemu ukauke.

Ndo heshima pekee system inatoa kwa hayati kiongozi mkuu.
 
Back
Top Bottom