cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,326
Mkuu Hadi kalemani na kwao Wana asili ya ukichaa?chato aliweka umeme wapi kama kwao Nyambogo hakuna umeme?
kalemani hajachomeka mtu yeyote tanesco labuda kama alilazimishwa na mwendazake.
kalemani ni ndugu yangu, lakini mbinafsi sana, tena sana.
jaribu kwenda kwao kijiji cha nyambogo, kata ya ilemela.
alifariki mama yake..... aliacha gumzo,
akafa mke wake.... alikuwa gumzo...
hata ubunge alibebwa sana na rafiki yake john, kwani 2012 alijaribu unec akachezea kichapo na 2015 kwenye ubunge kura za maoni alikuwa anapumuliwa kisogoni na kijana mmoja anaitwa Deusdedit Katwale( huyu baada ya uchaguzi walimbambikia kesi ya uhujum uchumi ili asigombee ubunge. mama ashamtoa).
wanufaika wa utawala wa magu hazivuki hata kaya 20 kwa chato.
1. familia yake, magu, wadogo zake, na mpwa wake Martin.
2. alipooa Gordian Magufuli.
3. alipooa Musa magufuli.
4. kwa mugosha...
5. walimu waliokuwa chato primary miaka ya 80 kurudi nyuma
6. familia ya furaha wa kawe
wengine walikuwa wamebanwa sana na magu hasa alipokuwa waziri.
kuna familia ya Sende aliwanyima umeme wakati walikuwa Jirani na tanesco wilaya. nguzo wanayotumia tanesco ndiyo wanatumia kwa sende, kisa Dr sende alitaka kugombea ubunge.
Jamaa alikuwa na rohoo mbaya sana, ya vusasi na kila aina ya chuki.
huwa sielewi, ilikuwaje idara ya usalama ikaruhusu hadi akawa alipofikia.
huwa sielewi ilikuwaje ametoka kwenye familia yenye historia ya afya ya akili usalama wa taifa ukaruhusu awe alipokuwa
ilikuwaje wakaruhusu mtu aliyekuwa hahudhurii kwenye sherehe za kitaifa, hakuwa anautii kwa viongozi wake akawa alipokuwa?
Tumsgukuruni sana mungu kwa kuruhusu Mtumishi wake apumzike.
wengi hasa mmemfaham alipokuwa top.
tunategemea 2022 na 2025 kwa mara ya kwanza jimbo la chato litakuwa na uchaguzi huru na haki.
wito: idara ya usalama msije mkaruhusu watu wa aina yake kuukarubia hata unaibu waziri.