Kalemani alikuwa analeta ukabila TANESCO ndo maana akapigwa chini

Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
1,098
2,000
Hao wachaga wengi wapi hawzid hat mil1
Umeajiriw kwa wachaga nin?
Wachaga wengi lakin vyuoni hawaonekani ajabu sana.
Oky wakiwa wengi inakusaidia nin wewe?
Mimi ni Mchagga najua tulivyotapakaa Kona zote za Nchi hata nchi Jirani Hadi kule mashariki ya Mbali tena Ulaya na Marekani kote huko Rafiki hapa tumeshamalizana na nyie tuwaache na ufaulu wenu sasa!!
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,083
2,000
Mkuu hujui ulisemalo. Kalemani ni mkaksi, yaani ni mtu mwema sana ila ni mnoko! Hana muda na mtu zaidi ya wale anaojuana nao. Yaani kama ulikuwa na shida naye then ukatokea kumuona then ukawa hueleweki imekula kwako. Kalemani hakupenda hata kusalimiana kisukuma mbele ya watu. Yaani ukimkuta Kalemani kwenye vikao jifanye humjui, ukijifanya kumshobokea imekula kwako.

Kalemani watoto wake wote hawana kazi za maana, yaani hakuwahi kuwatafutia kazi serikalini. Ni mtu ambaye uzalendo upo damuni. Yaani ni kama Nyerere tu.
Eti Kalemani Kama Nyerere,

We ni mpuuzi,
Acha kumfananisha nyerere na huyo msukuma mwenzio
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,083
2,000
HILI BANDIKO LAKO NI ZITO ZAIDI.........ILA KUHUSU ISHU YA KALEMANI WEWE HUJAFAHAMU ZAIDI HUYO NA MAGUFULI WANA UNDUGU WA DAMU KWENYE UKOO KABISA

ISHU YA KALEMANI KUJAZA WATU WAKE NI KWELI KABISA KUANZIA WIZARANI KAJAZA NDUGU ZAKE WENGINE NI WATOTO WA NDUGU ZAKE KABISA WALA SIONGEI KWA KUBAHATISHA


KUHUSU MWENDAZAKE WALA SITII NENO ZAIDI YA KUKUELEWA NA KUAPRECIATE ULICHOKIANDIKA MIMI HADI LEO NAJIULIZA ILIKUAJE AKAWA RAIS.....NISHAWAHI KULETA UZI KABISA HUMU KUHOJI KWAMBA KWANINI ALIKUA RAIS ILIWEZEKANA VIPI....JAMAA ALIKUA MTU WA VISASI SANA KWA KWELI YULE SIJUI KAMA YULE BABA ALIKUA BINADAMU AISEE MHHH SIO KAWAIDA KABISA MHHH HADI NAJIULIZA NI MTANZANIA KWELI?KUNA MAMBO HUWA NAREASONING HADI NAHOFIA KUMKUFURU MUNGU KUHUSU YULE JAMAA AISEE
Mi nawashangaa wanaomsifia Magufuli eti!!!!

Yaan PAY MASTER GENERAL,WAZIRI wa nishati , wote hao kumbe walikuwa ndugu zake!!

Aisee
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,470
2,000
Mkuu hujui ulisemalo. Kalemani ni mkaksi, yaani ni mtu mwema sana ila ni mnoko! Hana muda na mtu zaidi ya wale anaojuana nao. Yaani kama ulikuwa na shida naye then ukatokea kumuona then ukawa hueleweki imekula kwako. Kalemani hakupenda hata kusalimiana kisukuma mbele ya watu. Yaani ukimkuta Kalemani kwenye vikao jifanye humjui, ukijifanya kumshobokea imekula kwako.

Kalemani watoto wake wote hawana kazi za maana, yaani hakuwahi kuwatafutia kazi serikalini. Ni mtu ambaye uzalendo upo damuni. Yaani ni kama Nyerere tu.
Waache na nongwa zao. Yaani huyu Makamba na kundi lake wanataka kutajirika na Gesi. Huo mkataba lazima uangaliwe kwa darubini.
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,826
2,000
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa


Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Majungu gang
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,083
2,000
Wewe ni taahira na nina shangaa kwanini mods wanakuacha uendelee kueneza utaahira wako humu.

Hivi unaweza kututajia watu wa chato aliowaweka kalemani huko tanesco.

Badala ya kuleta hoja zenye maana unaleta upumbavu!

Juzi ulileta zaidi ya nyuzi 4 humu ukilalamikia tanesco imekuwa ya hovyo kipindi hiki ambacho huyo kalemani hayupo

Ukiona vinaelea vimeundwa we zwazwa na udini wako.
We pimbi mbona unamuandama Samia pia??! Acha huyo mungu wenu wa chato ajadiliwe
 

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,083
2,000
Kalemani ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Alinishangaza zaidi alipoamua kupeleka umeme kilometer 25 kwenye plant ndogo ya shemeji yake ya kuchenjulia dhahabu, kwa gharama ya TANESCO. Plant ambayo hata kodi inayolipa haizidi shilingi milioni 1 kwa mwezi.

Ni mbinafsi na mnafiki kuoindukia. Alipoondolewa tu, nilipata imani kuwa kumbe mama Samia ana watu wanaompa baadhi ya taarifa ziluzo sahihi kabisa.

Kumwondoa Kalemani kwenye uwaziri, big credit to Samia.
Rais Samia yupo makini Sana, Syteam ya TISS inampa taarifa zote kwasasa za Hawa misukule ya mwendazake waliobakia
 

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,221
2,000
Mbona hamkusema kikwete alipomfanya mtoto wake awe mbunge..
Enzi za nyerere maaskari wengi walikuw wanatoka wap?
Wasukuma ni wengi kivyotevyote vile wakiteuliwa wengi inaonekana ukabila.
wakisema wateue kwa uwiano wasukuma wangap watateuliwa?
Context ya ukabila ni kwamba kufanya kitu kunufaisha kabila lako
Magufuli kafanya nin ambacho wasukuma wamenufaika nacho kuzid makabila mengine
Wasukuma wako zaidi ya mil 10 walioteuliwa hawazidi hata 100 acheni siasa na propaganda mfu,
Hazina faida kwa ccm wala kwenu ispokuw hasara.
Ni ujinga uliokithiri kufikiri one wrong deserves another.
 

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,527
2,000
Dkt Kalemani ni mzalendo sana. Pamoja na ukaribu wake na rais Dkt Magufuli lakini hakuthubutu kujipendelea kwa namna yeyote, yaani hata jimboni hakupendelea. Yaani pamoja na konekisheni zote hakuweza kuutumia huo mwanya kujinufaisha yeye mwenyewe au familia yake. Pamoja na unoko wake wa kutokupokea simu za wapiga kura wake ila ni mtu mkalimu sana na mwenye moyo wa upendo na uzalendo!
sisi tulitaka awe kama wachaga na wanyakyusa,,kwanini yeye hasaidii chato
 

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,321
2,000
Waache ndo wako ivyo mie huwa sihangaiki nao. Wao wanajiona kuwa ni Bora kuliko wengine Kama wa Tigray.wao kusoma wanadhani wengine hawatasoma watabaki kuwa wao pekee ama kuwa na Mali basi wanajua kuwa wengine hawatakuwa nazo.
Hawajui Kuna dola inasimama na kufa,Roman empire iko wapi, ottoman iko wapi,Mali iko wapi.
Jpm alivyoingia waliumia Sana walidhani wao pekee ndio wangekuwa ma waziri Mana wamesoma wakashangaa Baraza xzima hakuna kyasaka na huko nyuma walidai kuwa hakuna wengine waliosoma.
Yeye anadhani tupo bado kile kizazi Cha waliozaliwa before 1960s hao ndio walikuwa wachunga ng'ombe.
Yaani mpaka mtt amezaliwA 1970s,1980s hapa hawa 80 wamesoma Sana kulinganisha na 70, na 1990 wamesoma Sana ndo wako vyuoni na 2000 bado wanasoma na wako wanakomaa na 2010 rate inazidi kuongezeka exponentially.tupe matusi tutie hasira kyasaka.subiria majibu around 2050 kizazi chote kitakuwa kimesoma utaongea vizuri nadhani.
Mana hiyo miaka Hawa 1970s,1980,1990 watakuwepo wachache ni wazee Sana watakuwa wamebakia 2000s wengi watakuwa wamesoma. Na wasukuma walivyo wengi mpaka huko watakuwa wamejaa kwenu huko.kumbuka hamna ardhi pia mtapata shida Sana.
Tutaka kujitenga na huku usukumani mmewekeza hakuna msukuma ama kyasaka aliyewekeza huko. Mkija kuambiwa kila mtu kwao sipati picha.
Mana kila mtu atadai maslahi kuwa mbona tunatoa Kodi kubwa Ila hakuna kitu.
Acha ukabila we kenge
 

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,527
2,000
Makabila mengine walioondolewa enzi za utawala wa KOBOKO zilikua chuki dhidi yao?
Tanesco aliondolewa Mramba, nssf alondolewa Dau na kwingine kwingi wakawekwa WASUKUMA
kabla ya mqgufuri maceo walukuwa haohao au walijuwepo wengine?kama walikuwepo wengine,,kwanini hawa walipobadilishwa iwe nonhwa?
 

Ridomil gold

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
1,289
2,000
chato aliweka umeme wapi kama kwao Nyambogo hakuna umeme?


kalemani hajachomeka mtu yeyote tanesco labuda kama alilazimishwa na mwendazake.


kalemani ni ndugu yangu, lakini mbinafsi sana, tena sana.


jaribu kwenda kwao kijiji cha nyambogo, kata ya ilemela.


alifariki mama yake..... aliacha gumzo,
akafa mke wake.... alikuwa gumzo...


hata ubunge alibebwa sana na rafiki yake john, kwani 2012 alijaribu unec akachezea kichapo na 2015 kwenye ubunge kura za maoni alikuwa anapumuliwa kisogoni na kijana mmoja anaitwa Deusdedit Katwale( huyu baada ya uchaguzi walimbambikia kesi ya uhujum uchumi ili asigombee ubunge. mama ashamtoa).


wanufaika wa utawala wa magu hazivuki hata kaya 20 kwa chato.

1. familia yake, magu, wadogo zake, na mpwa wake Martin.
2. alipooa Gordian Magufuli.
3. alipooa Musa magufuli.
4. kwa mugosha...
5. walimu waliokuwa chato primary miaka ya 80 kurudi nyuma
6. familia ya furaha wa kawewengine walikuwa wamebanwa sana na magu hasa alipokuwa waziri.


kuna familia ya Sende aliwanyima umeme wakati walikuwa Jirani na tanesco wilaya. nguzo wanayotumia tanesco ndiyo wanatumia kwa sende, kisa Dr sende alitaka kugombea ubunge.


Jamaa alikuwa na rohoo mbaya sana, ya vusasi na kila aina ya chuki.


huwa sielewi, ilikuwaje idara ya usalama ikaruhusu hadi akawa alipofikia.


huwa sielewi ilikuwaje ametoka kwenye familia yenye historia ya afya ya akili usalama wa taifa ukaruhusu awe alipokuwa

ilikuwaje wakaruhusu mtu aliyekuwa hahudhurii kwenye sherehe za kitaifa, hakuwa anautii kwa viongozi wake akawa alipokuwa?

Tumsgukuruni sana mungu kwa kuruhusu Mtumishi wake apumzike.


wengi hasa mmemfaham alipokuwa top.


tunategemea 2022 na 2025 kwa mara ya kwanza jimbo la chato litakuwa na uchaguzi huru na haki.


wito: idara ya usalama msije mkaruhusu watu wa aina yake kuukarubia hata unaibu waziri.
Hoja yako chonganishi kisa kukosa teuzi pole
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom