Kale kaharufu una kaondoaje?

Kale kaharufu una kaondoaje?

Harufu inatokana na kujisafisha umesimama au harakaharaka...sisi wasichana unatakiwa uoshe sana k kuliko sehemu nyingine yoyote...so akienda kuoga aandae ndoo ndogo yenye maji safi ahakikishe mikono misafi...kisha aoshe kwa sabun ya jamaa au any non medicated soap kwakua ukitumia medicated inaweza kukuletea rashes na magonjwa mengine...iyo ni kwa nje aoshe sana ili sabun isibaki...then aingize kidole nusu cha kati au kinachofata badala ya chakati...amwage maji mengi kuelekea huko....maji yanatakiwa yawe mengi sana...yanapendekezwa yawe ya baridi kwakua ya moto yanasababisha kutanuka kwa k kwa kua kule pako kama rubber....then lastly kabsa kama mwanamke ana mavuzi mengi then ni moja ya kunuka coz akiswet sana na zile nywele lazima atoe harufu...akifanya ivyo chupi yake itakua safi na atanukia murua...na pia baada ya kuoga apake mafuta ya mgando juu ya k kuepusha ngozi kua ngumu na nyeusi....binafsi ndo nnachofanya sijapata malalamiko yoyote....bila kusahau kila baada ya kumaliza round aoshe k ndo muendelee...

Hapo penye red.....inawezekana kweli?!
 
Ukitaka kujua beberu kunusa uchi au ng`ombe kunusa uchi wa mwenzie apate stimu ndo huko kunako utamu wa hiyo harufu rahaaa mustarehe ila ile harufu inatofautiana kuna wanawake looh wamezidi km hujiwezi waweza tapika kama harufu ya mtaro wa maji machafu ni shydah kweli mapenz uchafu
 
Umeongea kiujumla ina maana ume sex nao wote?Sample yako si ni wasichana ulio sex nao ukakusanya namba nyingi walionuka ndipo ukafikia tamati?

Ingelikuwa haki ungesema ulio kutana nao utafanyaje kuondoa harufu mbaya ulio ikuta kwenye uchi zao!

Kuna K zinanukia unatamani uweke ubwabwa juu ule!Kwa msichana wangu bila kuweka pua kwenye papuchi yake ni absorb ile harufu murua siwezi pata usingizi

Sample ni yule dada yako wa iyunga. Mfundishe namna ya kuoga ili anukie kama huyo wifi yake
 
Mmmh! Uchafu na fungus ndio zinasababisha harufu ukeni

KUTOA HARUFU MBAYA UKENI.
Kila mwanamke amejaaliwa harufu ya kike inayo vutia na kuhamasisha wanaume kushiriki nae. Japo kuwa wapo wanawake ambao harufu hii hugeuka kero kwa watu wao wa karibu. Zipo sababu nyingi zinazo pelekea hali hii. Baadhi yake ni kama:
1. Kuwa na maambukizi ya magonjwa ya uke: magonjwa haya ni kama kansa ya uke( huu ni ugonjwa mbaya sana, mgonjwa hupata maumivu makali wakati wa kufanya, harufu mbaya sana hutoka, na uke una kuwa kama una waka moto), yeast infection( unakuwa unatoka maji ka maziwa ya mgando), bacterial infection( hii husababishwa na utumiaji wa vyoo usio salama, namna ambavyo unachamba kwani mwanamke yakupasa kuchamba kutoka mbele kwenda nyuma), sti/ std/ uti( haya ni magonjwa ya zinaa na ya njia ya mkojo)
2. Uchafu wa mwili na nguo za ndani: mwanamke yampasa kuwa msafi wa mwili na nguo za ndani. Yampasa mwanamke apende kujisafisha na kubadili nguo za ndani mara kwa mara. Vilevile yampasa aachane na chupi ambazo si za cotton kwani sio nzuri. Aepuke uvaaji wa chupi, taiti na suruali juu kwani anajiweka kwenye risk ya kupata kansa ya uke. Kuna tetesi kwamba taiti hukusanya mafuta ya mapajani na huamia tumboni, na ndio maana wanawake wengi wa siku hizi wana vitambi tofauti na mama zetu wazee wa underskirt.
3. Matumizi ya perfume, lotion, kuogea maji ya moto na vitu vingine ukeni: matumizi ya hivyo vitu huuwa good bacteria wa ukeni na kuziacha sehemu hizo wazi na rahisi kushambuliwa na magonjwa
4. Ngono isio salama: kwa wale wanao liwa kama samaki, wapo kwenye hatari ya kupata hali hii. Mchezo hatari sana na ule wa kutoa kitu kwenye tupu ya nyuma na kuipeleka kwenye tupu ya mbele
5. Kujisafisha kwa kujichokonoa: kujitia ujuzi wa kufanya hivi ni hatari sana. Usifanye kitendo hiki labda ushauriwe na daktari
Chakula: kupendelea kula vyakula vyenye yeast na sukari nyingi hupelekea shida hii kwa kuzalisha yeast mwilini. Vyakula hivi ni kama beer na mikate. Pendelea kula mtindi kwani wenyewe husaidia kuzalisha good bacterias
Kuogelea: kuogelea mara kwa mara si kuzuri kwa mwanamke. Kwani kwa kujiweka muda mrefu kwenye maji alafu ukashindwa kujikausha vizuri utapelekea upatwe na fungus wa uke na uanze kunuka

Pendelea kwenda hospitali pale unapoona haupo sawa. Hii itakusaidia kupata tiba sahihi
 
Listen... Usafi tuu ndo kila kitu
Maji mengi na yakutosha tena bila sabuni wala kujitia kidole...
Tupu isafishwe vizuri na taratibu kwenye angle zote ambako uchafu utaweza kujificha, hata akenda haja ndogo atumie maj anawe vizuri inatosha... hutokaa usikie harufu mbaya zaid ya ile ya asili

Mbali na hapo labda kuna maambukizi
 
Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu.

Hakuna asiye jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao.

Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi.

Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako?

Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke.

Napita tuu!, watakuja wenye majibu
 
Wanawake wengine wanakuwaga na harufu fulani hivi yenye kuhamasisha zaidi. Ingawa wapo ambao huwa inapitiliza, na wengine ni ya uchafu, UTI au fungal infections.
 
Hao unaokutana nao wewe wanakuwa wagonjwa maana
Ke usipokuwa msafi ni rahisi sana kupata magonjwa km fungus na mengineyo.
Lkn ukutane na Ke smart km mm hiyo harufu unayosema ww ni historia.

acheni ubishi hicho kiarufu kipo.. Japo sio kila mwanamke anacho, ila wengi wanacho. Hata uwe msafi vipi kama unacho basi ndio hivyo unacho tuu... Halafu wanawake lazima muwe wabishi katika hili maana hata harufu iwe kali vipi nyie huwa hamuisikii.. Wanaume ndio wanaoisikia so acheni ubishi.. Pia nasikia wanawake wanene ndio wanaongoza kwa viharufu kuliko wembamba.
 
acheni ubishi hicho kiarufu kipo.. Japo sio kila mwanamke anacho, ila wengi wanacho. Hata uwe msafi vipi kama unacho basi ndio hivyo unacho tuu... Halafu wanawake lazima muwe wabishi katika hili maana hata harufu iwe kali vipi nyie huwa hamuisikii.. Wanaume ndio wanaoisikia so acheni ubishi.. Pia nasikia wanawake wanene ndio wanaongoza kwa viharufu kuliko wembamba„.

Hapo kwa red ndo main point yako...mengine yote mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom