Mmmh...Ushauri wa huku sio wa kubeba .
Ha ha ha ha aisee kana mkeraje sasa?
Kama panya alie kufa na kuachwa siku moja
nashangaa...
Si wote mkuu, ila ni wengi wananuka ucho
Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya
kueleweka kichwani mwangu. Hakuna asie jua kuwa wanawake huwa wana
kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu
zao. Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na
sabuni na njia nyingine nyiiingi. Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora
kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako? Maana nasikia
nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke
Basi kumbe dawa ni kuweka sumu ya panya eneo husika, I mean kwenye papuchi! Kaharufu kwisa kabisa!!
me najua tupu ya mwanamke lazima iwe na harufu, ila ikizidi ndo inakua mbaya....
mwanamke anatakiwa ajisafishe vizur tu kuondoa harufu ya ziada , lakini harufu ya asili inatakiwa ibakie
hapo ukizama chumvini utafurahi na roho yako....
hii kariiii na nimeskia leo?harufu gan iyo wajamen?
Usipende kujiokotea mademu kwenye mataptap kwani mademu wengi wa huko hawana muda wa usafi.
nikikutana nacho nitamtapikiaMkuu wapo usikatae ukikumbana nae ni sheeedaa...
jaman harufu gani iyo mbana mm sina?
Kwa anayejali afya yake inabidi a ignore maushauri ya humu JF mengi ni sumu...
Kama unatoa harufu muone daktari...mnaweza fikiri mnaondoa tatizo kumbe mnatengeneza tatizo kubwa zaidi...shauri zenu...
Maana hili suala nimeona watanzania wengi wagumu kuelewa...kila mtandao unatoa elimu ya uongo...wengine oooh osha na sabuni...wengine weka ndimu...wengine chumvi...eeehhhh unataka kuipika papuchi????
Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu. Hakuna asie jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao. Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi. Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako? Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke
kuna "natural smile ya huko kunako" ni nzuri