Kale kaharufu una kaondoaje?

Ni sawa ila usha wahi kucheck na wataalamu wa afya na wakakuambia kuwa your proceedure is right?
 
Wanawake unaokota uwanja wa fisi halafu unakuja kulialia hapa
 

Lamsingi kuelewa hapa ni kuwa kuna vitu viwili;

1.KUNUKA:Ni kuwa harufu yake Inakera, Haivutii, Haimpi mahanjamu mwenzi wako.

2.KUNUKIA: Maana yake-Harufu ya mwenzako inavutia, Haikeri, Inahamasisha.

Mwanamke kiasili anayo harufu yake anayonukia ambayo ni muhimu (Harufu ya kike inaitwa) na inamhamasisha mwanamme.

Vivyo hivyo kwa mwanamme nae ipo harufu ambayo mwanamke wake anaisikia.
Sizungumzii vikwapa lakini au kunuka kufuli lako-Huo ni Uchafu.

Wawili mliopo kwenye mahusiano kama hampo makini kwenye kujiswafi inakuwa ni sheedar kwa mwingine ila wengi huwa tunavumiliana na kujaribu kusaidiana kwa kurekebishana.

ANGALIZO:
Ni uongo uliotukuka mtu kusema eti katika mishe za kimahusiano eti hujawahi kukumbana na mwenye harufu isiyokuwa rafiki na kama imekutokea hiyo ni bahati yako kwelikweli.
 
kuna kaukweli hapa, unakuta mtu anatoa smell mpaka aghh:A S-eek::A S-eek: hamu inapungua
 

Ungekuwa karibu, ningekupa mkono wa shukrani!
 
Mwanamke yoyote ana harufu itokayo ukeni ingawa huwa haina tatizo kwa mtu awaye hata mwanamume. Ukikutatana na wanao toa harufu ni wale aidha hawajui jinsi ya kujisafisha au ana matatizo ya ugonjwa ambao ni simple na unatibika hospitali. Manii pia zikikaa ukeni baada ya saa kadhaa hunuka iwapo mwanamke hakujisafisha ipasavyo baada ya tendo la ndoa. MUHIMU. mwanamke kujisafisha kwa maji baridi na sabuni zisizo na marashi akichanganya na maji ya ndimu kwenye k. Kila kukicha. Hataisikia harufu tena. Mwenye shida hiyo sana anaweza omba ushauri kwa dactari iwapo hali hiyo ya kunuka inazidi maana huwa ni either bakteria au fung. Ila inatibika.
 
kuna kaukweli hapa, unakuta mtu anatoa smell mpaka aghh:A S-eek::A S-eek: hamu inapungua

Sasa wewe jidai unajua mapenzi afu upashike shike huko, utaondoka na harufu hio! Mpaka uoshe mkono na sabuni. Yaani kama mdudu kunuka vile:banghead:
 
Kwa anayejali afya yake inabidi a ignore maushauri ya humu JF mengi ni sumu...

Kama unatoa harufu muone daktari...mnaweza fikiri mnaondoa tatizo kumbe mnatengeneza tatizo kubwa zaidi...shauri zenu...

Maana hili suala nimeona watanzania wengi wagumu kuelewa...kila mtandao unatoa elimu ya uongo...wengine oooh osha na sabuni...wengine weka ndimu...wengine chumvi...eeehhhh unataka kuipika papuchi????



 

Well said mkuu
 

Yaani we acha tu! Shabu, chuvi, limao, udi, miski, majivu sabuni,vyote vyake!
 

hahaha... we ni noma aisee, kupika papuchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…