Kalapina ampondea Sugu

Kalapina ampondea Sugu

Mie wakuja ila kalapina maskani,tukiwa tunafanya hip hop enzi hizo yeye anatulia, Maskani anatusikiliza, Indianapolis,Block 41, Maskani kwa Bango, software copy ya FL na Cube base nimewapa mwenyewe na wakuja wangu
Kaforce mziki tu yule na kuwa msanii...nyie ndiyo mlikuwa mnakaa maskani opposite na ukuta wa shule ya kumbukumbu nini 😄

Ova
 
With all due respect nimekupa challenge, fungua uzi watu waweke all time big TZ hip hop hits ziwe top ten au top twenty au whatever numbers that suits you tuone hizo za huyo Kala Pina zata rank wapi if at all zitakuwepo kwenye orodha.
Najua hits za hip hop(rap) tangu enzi za Run DMC, KRS One, Kool Moe Dee mpaka enzi wanaingia the then Prince of Rap LL Cool J mpaka hivi vizazi vyenu Gen Z.
Kibongobongo kabla ya kina Sugu kuingia game enzi za kina Kibacha, Pompidou(Pompi) na wengineo so it's obvious any hit napaswa kuifahamu. Pamoja na kuwa niliondoka TZ decades ago lakini with music you don't necessarily need to be physically on the ground to know what's poppin'.
Kala Pina aendelee na kelele za kulazimisha attention lakini kwenye hip hop literally he has never done anything tangible.
Hana mchango wowote kwenye hiphop
Zaidi ya kelele miaka ile kuwaonea watoto wa kishuwa basi

Ova
 
With all due respect nimekupa challenge, fungua uzi watu waweke all time big TZ hip hop hits ziwe top ten au top twenty au whatever numbers that suits you tuone hizo za huyo Kala Pina zata rank wapi if at all zitakuwepo kwenye orodha.
Najua hits za hip hop(rap) tangu enzi za Run DMC, KRS One, Kool Moe Dee mpaka enzi wanaingia the then Prince of Rap LL Cool J mpaka hivi vizazi vyenu Gen Z.
Kibongobongo kabla ya kina Sugu kuingia game enzi za kina Kibacha, Pompidou(Pompi) na wengineo so it's obvious any hit napaswa kuifahamu. Pamoja na kuwa niliondoka TZ decades ago lakini with music you don't necessarily need to be physically on the ground to know what's poppin'.
Kala Pina aendelee na kelele za kulazimisha attention lakini kwenye hip hop literally he has never done anything tangible.
Challenge yanini Yani nataka kuprove nini, bro Pina humjui wewe mimi namjua. Mstari wa mbele ilikuwa hit kwa wakati wake, pita tu hapa yule YouTube soma hata comments za miaka ya karibuni kuhusu hiyo Ngoma zitakuonesha ni namna gan watu waliujua huo wimbo. Umeamua kumkataa Pina ila wote tunajua ilisumbua top 10 ya redio na Tv bongo kipindi imetoka. Hii ni fact mkuu sio ushabiki tu
 
I don't want to see anybody's comments, I want numbers. Wewe unamjua hata mimi namjua kama a noisy controversial figure ila sijui wimbo wake hata mmoja na hiyo challenge maana yake ilikuwa ni ku-prove who is right and who is not right. Wewe kujua nyimbo zake si hoja, kama majority hawazijui then it will prove my point na kama wengi wanazijua itakuwa kwamba I'm among the very few wasiozijua nyimbo zake na nitakubaliana na ukweli huo.
NB: Sina sababu ya kumkataa artist yoyote kwani sina ushabiki na artists zaidi ya kufurahia nyimbo zao.
 
Hahahaha,nyimbo zenyewe zilikua zinapigwa kibabe, DJ au presenter unatishwa sana ili upige nyimbo zake na zingine bila majani na Hashim Dogo kutia mikono zingekua za kawaida tu

Si alikua na studio? Iliitoa msanii gani au Ngoma gani hit kipindi Hilko?
Unasemaje bila Majani kutia mkono zingekuwa za kawaida!? Kwamba uzuri wa ngoma masikioni mwa mashabiki ni sabab ya Majani Katia mkono? Hapana Majani Ile ni kazi yake hapunguzi ktu Wala haongezi ila fans ndo tunaamua ukali wa Ngoma.
Hoja ya pili, Prof Jay alikuwa na studio inaitwa Mwanalizombe, ilitoa msanii Gani? Ilitoa hit gani? Mbona mna hoja dhaifu hivi🚮
 
I don't want to see anybody's comments, I want numbers. Wewe unamjua hata mimi namjua kama a noisy controversial figure ila sijui wimbo wake hata mmoja na hiyo challenge maana yake ilikuwa ni ku-prove who is right and who is not right. Wewe kujua nyimbo zake si hoja, kama majority hawazijui then it will prove my point na kama wengi wanazijua itakuwa kwamba I'm among the very few wasiozijua nyimbo zake na nitakubaliana na ukweli huo.
NB: Sina sababu ya kumkataa artist yoyote kwani sina ushabiki na artists zaidi ya kufurahia nyimbo zao.
Bado unakosa hoja, nikisema uweke challenge ya wangapi wanamjua Kibacha K single au wangapi wanawajua Kwanza Unit kiujumlq utaikimbia hiyo hoja Yako ya challenge sabab 99% hawajui hata wimbo mmoja wa KU Unit humu. Je itafanya KU wasiwe na lolote la maana. Come on bro
 
Sasa anayeandika kijuaji ni mm au wewe?
Sasa kama waligombana au kutofautiana ndio inaondoa ukweli kuwa alimtaja kwenye verse zake? Sasa mbona wewe na ujanja wako hajakutaja akamtaja mshamba Pina?
Acheni chuki za kishamba nyinyi,halafu kuonyesha ugoloko wako unaongelea bangi utasema Sugu naye havuti? Hivi mistari mingapi sugu Anajisifia kuvuta mpaka anasema "Ganja ndio inanipa misimamo "?
Nishajua naongea na mtu wa kuja asiyejua lolote
Hivi kwenye Rap na Hip hop kuvuta bangi nayo issue?
Wakati asilimia 90 ya Rappers wanavuta
Hao jamaa ni haters tu hawana hoja yoyote ya maana. Wanashambulia mtu badala ya kushambulia muziki wake, wanatamani hata kusema hawajui Ngoma yoyote ya Pina lakini kumfahamu kwao kunawabana.
 
Yes hana kipaji ana force tu kukaza Sauti anaenda nje ya beat a nacho kiimba hata hakina maana
Wimbo Gani kaenda nje ya beats? Wimbo upi uliona alichoimba hakina maana. Moja ya wasanii wanzingatia sana matumizi ya lugha na matamshi sahihi ni Pina aisee. Hebu fafanua hoja Yako tuichallenge
 
Hao wasanii wenu wazee wazima njaa kali wanatumika kisiasa na CCM, ndio maana Jongwe hana habari nao
 
Kaforce mziki tu yule na kuwa msanii...nyie ndiyo mlikuwa mnakaa maskani opposite na ukuta wa shule ya kumbukumbu nini 😄

Ova
Unaweza kuforce muziki ila huwez kuforce masikio ya wasikilizaji shehe, bro we ni mkongwe hapo mjini Dsm, hebu tamka hapa kwamba huzijui hizi ngoma
Mstari wa mbele(P funk), Umoja ni nguvu(Dunga) Nyimbo tosha(kikosi records), na Hip hop bila madawa(41 records). Sema huzijui kabisa tukusome wote humu ndani.
 
Bado unakosa hoja, nikisema uweke challenge ya wangapi wanamjua Kibacha K single au wangapi wanawajua Kwanza Unit kiujumlq utaikimbia hiyo hoja Yako ya challenge sabab 99% hawajui hata wimbo mmoja wa KU Unit humu. Je itafanya KU wasiwe na lolote la maana. Come on bro
Hao tuliwajua sisi tu wahenga kwa kuwa si kizazi cha digital platforms ila huyu Kala Pina hata kaka zake kina Sugu wana numbers zaidi yake, let's just be realistic kala Pina hajawahi kuwa na track iliyo-hit na bila controversies za kulazimisha beefs hata jina lake tusingelifahamu.
 
Back
Top Bottom