Kalapina ampondea Sugu

Kalapina ampondea Sugu

Watu tunapingana na Sugu kukandia tamasha wanaloandaa wengine kwa hoja zake dhaifu.

Hizo hadithi mnazoleta hapa tunazijua na hazihalalishi huo ubinafsi.

BTW:Humu tushazoea hii tabia ya mtu kutetewa kwa nguvu kubwa kisa itikadi za kisiasa tu,Yericko Nyerere naye aliwahi kuwa mwandishi nguli humu.😁
 
Hana ujanja wowote.....
Yule,aliyemfanya mpaka akalazimisha kuimba ni hasheem dogo
Pina wao na kikundi chao sana madogo wale walikuwa wakienda kwenye club na matamasha kutaka kuwaletea ubabe watoto wa kishuwa basi

Ova
Kala P mpumbavu ubabe wake wa kijinga kuna wakati alichezea kichapo kimboka akaokolewa na washkaji zangu mshamba sana huyo jamaa.
 
Hao tuliwajua sisi tu wahenga kwa kuwa si kizazi cha digital platforms ila huyu Kala Pina hata kaka zake kina Sugu wana numbers zaidi yake, let's just be realistic kala Pina hajawahi kuwa na track iliyo-hit na bila controversies za kulazimisha beefs hata jina lake tusingelifahamu.
Ili iwe hit ilitakiwa iweje hiyo track ili uitambue ni hit? Kibongo bongo track ikiingia top 10 kipindi imetoka tayari hiyo imeenda mjini na ni hit na ndipo wengine tulipomjulia Pina. Hizo bifu unazosema hazikutufanya tumsikiliza ila aina yake ya uchanaji, flows uandishi wa kiharakati ndani ya bongo records. Niambie hapa kuwa mstari wa mbele haikuwahi kuingiza top ten kwa weeks kadhaa! Wewe umemjulia bifu sisi tumemjulia hardcore rap. Imepigwa sana channel O Ile track, hater endeleza hate.
 
Dogo namjua Pina kuliko wewe kuanzia kujifunza muziki wake mpk ,show zake zote nimehusika ,mwanzo mwisho ,sasa,we kama unamuona mjanja ni kwako
Ndio maana nasema hamna hoja, wewe kumjua Pina kiundani saaana inafanya asiwe Mc mkali!? Unaongea nini we jamaa! Namuona mjanja sabab Mimi ni hip hop head yaani Ile kindaki ndaki, nasikiliza wimbo najipa majibu kuwa jamaa anajua ama hajui hii halihitaji maoni Wala chuki Chief. Natamani niwasikie wote mnaomponda mkisema kuwa hamjui wimbo hata mmoja wa Kalapina, natamani nione mkiandika kuwa mstari wa mbele haikwenda mjini. Majani hajawahi kufanya kazi na Mc flop, watu sio wajinga.
 
Ili iwe hit ilitakiwa iweje hiyo track ili uitambue ni hit? Kibongo bongo track ikiingia top 10 kipindi imetoka tayari hiyo imeenda mjini na ni hit na ndipo wengine tulipomjulia Pina. Hizo bifu unazosema hazikutufanya tumsikiliza ila aina yake ya uchanaji, flows uandishi wa kiharakati ndani ya bongo records. Niambie hapa kuwa mstari wa mbele haikuwahi kuingiza top ten kwa weeks kadhaa! Wewe umemjulia bifu sisi tumemjulia hardcore rap. Imepigwa sana channel O Ile track, hater endeleza hate.
Yaani niwe hater wa useless nobody huyo? Because I have never heard any of his tracks it translates that as far as I am concerned he has zero contribution in the game.
NB: Kama wewe unazijua tracks zake inatosha, usitulazimishe ambao hatuzijui tuseme kwamba tunazijua.
 
Moms boy unarukia na kudandia vitu usivyovijuwa, Ruge ampe nini Sugu?

Emanuel Nchimbi ndiye alikuwa mediator na Sugu alikuwa na mbinyo kwenye Chama chake kwa hadhi yake ya Kibunge na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema.

Elewa kwanza wewe tutusa Sugu kaingizwa Chadema kwa ushawishi wa Mbowe, na Mbowe ndio anatumiwa kumshawishi Sugu amalize hizo bifu wakijikite kwenye big Agenda kama chama wewe ungefanyaje?

Show ya Sugu Serena hotel mgeni rasmi Mama Samia hivi huwa mnadhani hivi vinatokea tu vyenyewe bila ya watu nyuma ya Camera?
Sasa Sugu ana Backup ya watu kama Willy Mungai hao ndio mihimili yake na sivyo mnavyofikiri. Idiot.
Wewe wakuja huna unolujua
Mjini yawezekana huna hata miaka mitatu
Sasa kama alitumiwa kumaliza biff kwann asiwashirikishe wenzake
Motherfucker?
 
Ili iwe hit ilitakiwa iweje hiyo track ili uitambue ni hit? Kibongo bongo track ikiingia top 10 kipindi imetoka tayari hiyo imeenda mjini na ni hit na ndipo wengine tulipomjulia Pina. Hizo bifu unazosema hazikutufanya tumsikiliza ila aina yake ya uchanaji, flows uandishi wa kiharakati ndani ya bongo records. Niambie hapa kuwa mstari wa mbele haikuwahi kuingiza top ten kwa weeks kadhaa! Wewe umemjulia bifu sisi tumemjulia hardcore rap. Imepigwa sana channel O Ile track, hater endeleza hate.
Wakati lost boys wanakuja Mjini Dar ulikua wapi? Tuanzie hapa kwanza b4 hatujarudi nyuma na kwenda mbele, ili nijue na deal na MTU Gani
 
Wakati lost boys wanakuja Mjini Dar ulikua wapi? Tuanzie hapa kwanza b4 hatujarudi nyuma na kwenda mbele, ili nijue na deal na MTU Gani
Habari za lost boys kuja bongo zimetoka wapi mzee, mbona ni nje ya mada! Hata nikisema labda sikuwa nmezaliwa kwa mfano ndio itathibitisha kuwa Pina hajawahi kuwa na hit? Nyie watu vipišŸ¤”
 
Kalapina kaingiliaje mchongo?
Yeye si kaalikwa tu kushiriki matamsha,sasa kosa lake nn?
Kwani yeye ndio kaandaa tamasha?
Soma kwanza huu uzi ulipoanzia! Naamini utapata picha ya kinachojadiliwa. By the way wanasema "fumbo mfumbie mjinga..." . Sasa werevu wameng'amua post ya Kalapina inamlenga nani.
 
Ndio maana nasema hamna hoja, wewe kumjua Pina kiundani saaana inafanya asiwe Mc mkali!? Unaongea nini we jamaa! Namuona mjanja sabab Mimi ni hip hop head yaani Ile kindaki ndaki, nasikiliza wimbo najipa majibu kuwa jamaa anajua ama hajui hii halihitaji maoni Wala chuki Chief. Natamani niwasikie wote mnaomponda mkisema kuwa hamjui wimbo hata mmoja wa Kalapina, natamani nione mkiandika kuwa mstari wa mbele haikwenda mjini. Majani hajawahi kufanya kazi na Mc flop, watu sio wajinga.
Hebu nipandishie truck langu la tunasonga,hasheem dogo ft pina
Nalisaka silicate

Ova
 
Huyu pina anachekesha kama si ndugu yako. Ukimwona tu choka mbaya afya mgogoro sababu ya unga na bhangi. Eti anamdiss sugu? Hiii dunia hii haiachi kukosa wachekeshaji. Kalapina anashikwa matako na majamaa akiwa bwimbwi hajitambui. Kuna pensheni kweli kwa kalapina? Kwa wimbo mmoja ? Ukikaona kamekoooooooonda kamebaki tu kama mbwa koko aliyenyeshewa.
He kalapina anakula madawa tena sialisema ye ni mwanaharakati wa madawa ya kulevya
 
Pina alikuwa anawazungumzia wote ambao walikuwa wanaliponda hilo tamasha kama kina Wakazi, Suma mnazareti na wengine.

Sugu yeye kwa mwaka katika tamasha lake wanapanda masanii/makundi 4, sasa shida inatoka wapi ya wasanii wengine kupata nafasi katika majukwaa mengine.

Yani zaidi ya wasanii 30+ wakose kuingiza kipato kwa kuwa wewe kwa mwaka unaffanya tamasha la wasanii 4?

Mwenye ushahidi wa kuwa Sugu alikuwa na mpango wa kufanya tamasha la kukusanya wasanii wengi kama hao wa 30 ya bongo fleva kwa mara moja auweke hapa.
 
Kuna track katoa anakwambia kataa mchk
šŸ˜„ aise huo wimbo uungwe mkono

Ova
 
Back
Top Bottom