Kakosea kutuma pesa kwenye simu yangu, nimezitafuna

Kakosea kutuma pesa kwenye simu yangu, nimezitafuna

shelumwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
516
Reaction score
190
Hii imetokea week iliyopita nilikua ninashida na pesa kweli sasa, nikasikia mlio wa meseji ikiingia kuangalia nakutana na 200,000/= nilichokifanya hata sikupoteza muda fasta nikaenda kwa wakala na kuzichomoa zote. Sasa tangu ile siku namba iliyonitumia pesa inanipa maneno ya vitisho na mimi pesa kwa sasa sina.

Je! Nivunje line au?
 
Du kweli wabongo njaa ndio mana kipindi kile mgombea urais
Wa chauma alisema tatizo la watanzania ni njaa ninalochangia japo umekula dhuruma vema zaidi ungemrudishia sababu wewe mwenyewe ulijua fika hiyo pesa si yako kwa nini usingemrudishia?
 
hii imetokea week iliyopita nilikua ninashida na pesa kweli sasa , nikasikia mlio wa meseji ikiingia kuangalia nakutana na 200,000/= nilichokifanya hata sikupoteza muda fasta nikaenda kwa wakala na kuzichomoa zote . sasa tangu ile siku namba iliyonitumia pesa inanipa maneno ya vitisho na mimi pesa kwa sasa sina,

je nivunue line au?
Kama ni kweli basi huyo aliyekutumia naye ni mbwiga kuliko wewe!...kwa taratibu zilizopo saa hizi ungelikuwa unalala saa kumi!!
 
Haaa imenikumbusha siku dada angu alipokea pesa katika sim hamjui ni nani.. nikamwambia itakua mtu kakosea namba.. tuzitoe akawa anagoma.., nikamwambia kama dhambi acha nipate mie.
Nikaenda sehem nikatoa.. tena mbali na home.. ile nishatoa mara mama angu akapiga akasema hiyo pesa nimetuma kaninuulieni hivyo vitu.., nikachoka tu..
 
Wabongo mna njaa! Kweli du! Iyo itakuwa njaa! Yaani hiyo ni njaa hakuna namna.Njaa zitakuua mkuu.
 
Haaa imenikumbusha siku dada angu alipokea pesa katika sim hamjui ni nani.. nikamwambia itakua mtu kakosea namba.. tuzitoe akawa anagoma.., nikamwambia kama dhambi acha nipate mie.
Nikaenda sehem nikatoa.. tena mbali na home.. ile nishatoa mara mama angu akapiga akasema hiyo pesa nimetuma kaninuulieni hivyo vitu.., nikachoka tu..

Ahsante kwa kutuletea Uzi unaofichua watu wenye njaa hapa jf.
 
hii imetokea week iliyopita nilikua ninashida na pesa kweli sasa , nikasikia mlio wa meseji ikiingia kuangalia nakutana na 200,000/= nilichokifanya hata sikupoteza muda fasta nikaenda kwa wakala na kuzichomoa zote . sasa tangu ile siku namba iliyonitumia pesa inanipa maneno ya vitisho na mimi pesa kwa sasa sina,

je nivunue line au?
Vya watu haviliwagi bure subiri kukulwa haha
 
Na pesa ushamaliza, sasa laana inakuandama. Hujui utupe laini au ubaki nayo.
Na hiyo laki mbili ulifanyia nini cha maana ?
 
Back
Top Bottom