Kakobe apinga waraka wa wakatoliki

Najua wazi Askofu AbdulHalim itakuuma sana, lakini huo ndio Ukweli. Tunamtaka Pengo na kabineti yake wagombee uongozi au waseme wazi nani kiongozi mzuri ili tumchague na watukataze kuchagua viongozi fulani ambao ni wabaya.

Hata JK Nyerere aliwahi kutamka bayana kuwa Malecela, Lowasa sio viongozi wazuri na alipendekeza Mkapa kama kiongozi Safi.

Pengo aige mfano huo
 
This is absolutely wrong and rediculous!

U guys have got common senses and you can think for yourselves!

Kazi ya kiongozi kama huyo ni kuonyesha njia, na kisha wengine wafuatilie!

Nyerere alienda Extremes kwa kuwataja, na ndo maana hata wewe

umeweka hiyo kama reference, maana imeingia kwenye kumbukumbu za

dunia!... na sio jambo rahisi kama unavyowaza!
 
__________________

Sasa tungependa sana kama Pengo na kabineti yake waende extreme kama alivyofanya Kakobe kwa kumnadi Mrema.

Tunaoutaka ni uwazi na sio kujificha kwenye pazia.
 
kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?

Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.

sio wote walioenda shule wamefanikiwa/wamebobea hata wasiojua kusoma nao wana nafasi kwa mungu,Yesu unayemfuata wewe ndio huyo anayemfuata Kakobe isipokuwa njia tu zinapishana, inamaana muunini wa FGBF na RC wana daraja tofauti kwa imani,nini hasa lengo lako katika ibada.?
 
kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?

Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.

Mbona hata katiba ya nchi inaandaliwa na wataalamu tene waliobobea kweli kweli lakini mbona kila siku inafanyiwa marekebisho?

BroVOOOOOOOOOO KAKOBEEEEEEEE. wee ndio askofu sahihi hapa Tanzania. tunauthamini sana mchango ako hadhimu
 
kakobe angeenda taratibu kama jinalake hii speed anayoendanayo sio.
 
Ahsantum Askofu Kakobe.
Wew e Barubaru na HMAFIF!

Matatizo yenu yanajulikana tatizo kubwa ni elimu. Uwezo wa kufikiria ndio huo. Mtu kajiita Askofu yeye mwenyewe kwa hisani ya mjinga mmoja anayeitwa Ruksa lakini mbona hamjafaidika na hiyo sera mwaishia kutembeza bakuli la tende upuuzi mtupu angalieni msiharibu funga yenu kwa kushabikia upuuzu hamtambui huu ni mwezi wa Toba!!!Kalakabaho!!!
 
Mfereme.

Hivi Pengo alipewa ukadinari na mtanzania gani?
Je Kanisa Katoliki huko Tanzania limewahi kufanya uchaguzi wao kuchagua viongozi wao kama (Kardinari, maaskofu na hata mapadre?

Mimi nafikiri kanisa hili lingaweka mkazo kwanza kuchagua viongozi wake wa kitaifa bila kuingiliwa na Vatican kisha ndio watoe mwongozo wa kulieleza taifa namna ya kupata viongozi bora na mfano mkuu ikiwa wao wenyewe.
 
Wew e Barubaru na HMAFIF!

Matatizo yenu yanajulikana tatizo kubwa ni elimu. Uwezo wa kufikiria ndio huo. Mtu kajiita Askofu yeye mwenyewe kwa hisani ya mjinga mmoja anayeitwa Ruksa lakini mbona hamjafaidika na hiyo sera mwaishia kutembeza bakuli la tende upuuzi mtupu angalieni msiharibu funga yenu kwa kushabikia upuuzu hamtambui huu ni mwezi wa Toba!!!Kalakabaho!!!

Mfereme.

Hivi Pengo alipewa ukadinari na mtanzania gani?
Je Kanisa Katoliki huko Tanzania limewahi kufanya uchaguzi wao kuchagua viongozi wao kama (Kardinari, maaskofu na hata mapadre?

Mimi nafikiri kanisa hili lingaweka mkazo kwanza kuchagua viongozi wake wa kitaifa bila kuingiliwa na Vatican kisha ndio watoe mwongozo wa kulieleza taifa namna ya kupata viongozi bora na mfano mkuu ikiwa wao wenyewe.
 
Najua wazi Askofu AbdulHalim itakuuma sana, lakini huo ndio Ukweli. Tunamtaka Pengo na kabineti yake wagombee uongozi au waseme wazi nani kiongozi mzuri ili tumchague na watukataze kuchagua viongozi fulani ambao ni wabaya.

Samahani sana usiniusishe na utaahira wako..na tena unikome. Watu waisha kubaini unamatatizo kwenye kichwa chako na nimewacha kubishana na watu kama wewe kitambo sana, hivyo tafuta watu wenye utindio wa akili kama wewe labda watakusikiza..

and by the way, unaingia rasmi ktk list yangu ya watu wasio na input kuanzia sasa. Hongera.

So from now on, talk to the hand.
 
Kakobe na kanisa lake hawajawahi kujenga dispensari wala shule ya chekechea za kutoa huma kwa watu ingawa kila Jumapili anakusanya dhahabu, sadaka pamoja zaka (fungu la kumi) za waumini wake maskini. Hana tofauti na mafisadi wengine.
 
Samahani sana usiniusishe na utaahira wako..na tena unikome. Watu waisha kubaini unamatatizo kwenye kichwa chako na nimewacha kubishana na watu kama wewe kitambo sana, hivyo tafuta watu wenye utindio wa akili kama wewe labda watakusikiza..

and by the way, unaingia rasmi ktk list yangu ya watu wasio na input kuanzia sasa. Hongera.

So from now on, talk to the hand.

Nashukuru sana Askofu Abdulhalim.

Kumbe ukweli unauma ee............ Pole sana
 
Kakobe has some loose nuts.Mara ya kwanza alikuwa ana-criticise sana Kingunge na kuunga mkono waraka wa Ktoliki then amekurupuka anamshutumu Pengo na kumwita Kingunge a visionary leader.
Nashindwa kuelewa waraka wa katoliki una tatizo gani wakati kile kipindi cha uchaguzi unatolewa.
Na saa hivi kanisa katoliki wametangaza semina kwa waumini wake mpaka ngazi za chini kabisa.
Naona Kingunge ataongea zaidi!
 
kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?

Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.
Bila kujali darasa lake, alichoongea ni MVUKE TU. Ingekuwa na maana kama angetaja vipengere vilivyochemka (ambavyo sijaviona).
 
Kakobe has some loose nuts.Mara ya kwanza alikuwa ana-criticise sana Kingunge na kuunga mkono waraka wa Ktoliki then amekurupuka anamshutumu Pengo na kumwita Kingunge a visionary leader.
Nashindwa kuelewa waraka wa katoliki una tatizo gani wakati kile kipindi cha uchaguzi unatolewa.
Na saa hivi kanisa katoliki wametangaza semina kwa waumini wake mpaka ngazi za chini kabisa.
Naona Kingunge ataongea zaidi!
.

Unajuwa waraka huu wa wakatoliki wa kila mwaka una siri nzito sana lakini mwaka huu wameshitukiwa.

Kwa Takwimu za haraka. katika TZ wakatoliki ni chini ya 20%. Pili ndani ya Bunge la Muungano wakatoliki ni zaidi ya 73%.

Tumia akili kidogo. Itakuwaje 20% of population ya Tanzania lakini kwenye chombo cha kutunga sheria wapo 73% kuna siri gani hapo?

sasa hapo utajuwa wanahimiza nini kwa waumini wao na hatimaye kwa taifa zima ndio maana kila anayeupinga waraka huu basi ni msaliti na lazima atukanwe na kudhalilishwa.

Sio vizuri tuwe fair, You can fool some people some time but you cant fool all the people all the time
 
labda nimwambie huyu anaejiita sijui nani kakobe manake nafkiri hata anachokisema hakijui kabisa huyu anesema sema tuu yaani anatamuka tamuka tuu bwaaa bwaa bwaa.... kwa taarifa yake sasa kama hajajua kanisa katoliki ndio linajikita kwenye siasa kikamilifu na dunia huko iendako kanisa katoliki ndio linakuja kuongoza dunia anaebisha aanzane na ufunuo
 
.

Unajuwa waraka huu wa wakatoliki wa kila mwaka una siri nzito sana lakini mwaka huu wameshitukiwa.

Kwa Takwimu za haraka. katika TZ wakatoliki ni chini ya 20%. Pili ndani ya Bunge la Muungano wakatoliki ni zaidi ya 73%.

Tumia akili kidogo. Itakuwaje 20% of population ya Tanzania lakini kwenye chombo cha kutunga sheria wapo 73% kuna siri gani hapo?

sasa hapo utajuwa wanahimiza nini kwa waumini wao na hatimaye kwa taifa zima ndio maana kila anayeupinga waraka huu basi ni msaliti na lazima atukanwe na kudhalilishwa.

Sio vizuri tuwe fair, You can fool some people some time but you cant fool all the people all the time
hivi hizi takwimu huwa mnazitoa wapi?
 
Kakobe ni sawa na jambazi tu, hata wanaabudu ktk kanisa lake nina wasiwasi nao. Dhahabu alizokuwa anakusanya amepeleka wapi? kwanza anatakiwa ashitakiwe.

Hata siku moja mhuni kama kakobe hataweza kujilinganisha na Pengo mpaka atakufa, wala hiyo FGBF haitaweza kuifikia RC mapa mwisho wa dunia. Wataishia kupora sadaka za waathirika na wagonjwa wengine tu, na hii ni dhambi.

Huwezi kuwa na akili timamu ukaenda kuabudu kwa kakobe, labda uwe mgonjwa na umekata tamaa ya kuishi.

Unauhakika na unayosema? naona si vyema kulinganisha Dini/Makanisa. Yeye katoa mawazo yake, kwani ana haki ya kufanya ivyo kisheria. ukiona si sahihi kwake kwake, basi unamnyima haki yake kisheria kutoa mawazo yake. Si lazima mtu anapotoa mawazo mahali popote yakubaliwe, hivyo ungetoa mawazo yako kuhusu huo waraka ili tuone kama yanamsingi kuliko mawazo aliyotoa. unaposema "Huwezi kuwa na akili timamu ukaenda kuabudu kwa kakobe, labda uwe mgonjwa na umekata tamaa ya kuishi" si sahihi kwani wanaosali pale wanaakili timamu kuliko zako na wale wanaofika pale wakiwa na matatizo ya magonjwa na mambo mengine, wamefunguliwa kwa maombi wanayofanyiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom