Kakakuona ameonekana bunju

kwa hiyo 'walimtoa lock' kwanza ndo wakamwekea vitu atabiri
Inategemeana ni watu wa aina gani waliomuelekeza kakakuona kutabiri. maana huw kunahitajika wazee wa zamani wanaojua namna ya kuongea naye. Kwa kizazi hiki cha sasa wala sidhani kama kuna yeyote mwenye huo ujuzi wa kuongea na kaka kuona. Kijijini kwetu alitokea na wazee wakafanya walichoweza, na baada ya hapo wakatuambia ni nini kakakuona kakitabiri, na hali ilikuwa kama ilivyotabiriwa. Binafsi, kwa kiasi fulani namwamini huyu mnyama, maana mara nyingi hutokea mara moja kwa mwaka na huwa inaweza kutokea kwamba katika nchi nzima akaonekana mahali pamoja tu.

So amazing kijijini kwetu walimkuta mahali ambapo usingetarajia mnyama pori kuwepo. Hata sungura tu kijijini kwetu hawapo lakini kaka kuaona alionekana. tuache kuwa wabishi kuna baadhi ya imani za kizamani zinafanya kazi. Though kama amekwenda kwenye panga, basi inasikitisha sana. Maana kwa kiasi fulani huwa ni nadra kwa huyo mdudu kukosea.
 
tusiamini kabisa habari za mnyama kakakuona,ni ushirikina.tuangalie mbegu iliyopandwa na chama tawala ya ubaguzi na udini,,,,,hapo amani itabaki kuwa history.
 
Watu mshindwe kufanya kazi na kutatua matatizo ya familia zenu mbaki kusubiri kakakuona atabiri. Mnachekesha kweli!!!!!
 
Huyo mnyama ndo kwanza namsikia sasa,hivi yukoje mkuu jaribu kunifafanulia,ukubwa wa maumbile na makazi yake haswa ni wapi?...majini au nchi kavu?...Je kuna matukio ya nyuma amewahi kutabiri na kutokea kweli?...Pia kihistoria ni makabila yote Tanzania yanaamini utabiri huo?...Kuuliza si ujinga!
 
inabidi siku moja ujipigie kura aisee maana kuwa mtanzania ni sehemu ya maajabu saba ya dunia aisee
Wewe Asigwa itabidi uni-pm ili kuanzia leo tuwe marafiki! Kama kweli hadi sasa tena kwenye jukwaa la GT kama hili lakini bado watu wana imani za kale za karne ya 18 basi ni dhahiri kabisa kuwa kuwa Watanzania ni ajabu jipya la 8 duniani! Ndio maana hata nchi inaongozwa kimazingaombwe tu!
 
ni kweli mkuu umenena vema kabisa........
 
acheni ubishi usio na maana,haya mambo yapo!sema 2,kizazi hiki tupo race na utandawazi hatuna muda na mambo ya mila na desturi
 
21st Century.
Hatufanyi kazi, kazi yetu kumsikilizia braza kuona aseme hatma yetu.
tena in the biggest city of Tanzania.
what a point of view!
 
kakakuona ameonekana na amekuona wewe kama mtalii nchini mwako, kwa ninin mumwekea vitu vibaya mgemwekea andazi samaki matembele dagaa mke mzuri uone kama asingechagua mke.
 
Kwani hatuna watabiri toka kwa Mungu mpaka wanyama watutabirie?
 
Huyo mnyama ndo kwanza namsikia sasa,hivi yukoje mkuu jaribu kunifafanulia,ukubwa wa maumbile na makazi yake haswa ni wapi?...majini au nchi kavu?...Je kuna matukio ya nyuma amewahi kutabiri na kutokea kweli?...Pia kihistoria ni makabila yote Tanzania yanaamini utabiri huo?...Kuuliza si ujinga!

Mnyama mwenyewe huyu hapa.
images
images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom