Kakakuona ameonekana bunju

Jana tarehe 29/10/2012 Mnyama KAKAKUONA ameonekana maeneo BUNJU katika Wilaya ya Kinondoni. Wananchi walimwekea NAFAKA, SILAHA ZA JADI, MAJI na vitu vingine ili aweze kutabiri yapi yatakayo jiri katika nchi yetu katika siku za usoni. Ni bahati mbaya sana na jambo la kusikitisha kuwa mnyama huyo alipita vitu vyote ambavyo kama angevibusu pengine tungechekelea na badala yake alikwenda moja kwa moja na kuegemea silaha ya jadi aina ya PANGA.

Binafsi sina la kusema, nawaachia wenzangu kwa hekima na busara mlizopewa na Mwenyezi mungu mtoe michango yenu kuhusu hili.

Nawasilisha.

Source:Kipindi cha JAHAZI, Redio CLOUDS.

WATANZANIA BADO TU WAJINGA SANAsana
 
............... mbona hawakueleza baada ya hapo kaka kuona akaenda wapi?
 
Nilianza kwa kuwaomba mtumie busara mlizopewa na Mwenyezi Mungu katika kuchangia, naona wewe hata Mungu wako humuogopi kabisaaa!! Ee Mungu umsamehe kwa vile hajui atendalo.
naona sasa unapangia watu waseme nini kama umeleta mada huwezi wafikirisha watu kama unavyoamini wewe eti wachangie kile unachotaka la sivyo toa mada yako pliiiiiz HAPA MADA YA KAKAKUONA MUNGU AMEINGIAJE??????????
 
watanzania tusiogope - ni kweli nia ya shetani ni damu imwagike - watu wachinjane na amani itoweke

lakini huyo ni shetani tu .................. Watu wanafunga na kuomba jamani ..........mungu anajibu maombi ...

Atatutetea naamini - shetani ameshindwa ....... Hakutatokea vita ..... Makanisa hayatachomwa tena... Kwani tumeamua kusimama katika zamu yetu ya kuomba.

Hivyo waombaji ...ombeni ... Kama ulikuwa unaomba nusu saa - omba saa nzima
kama ulikuwa hujui kufunga huu ndio wakati ...... :drum::drum::drum:
worrrrrdddddd!! Ni sala tu zitakazotuokoa!
 
anawekewa vitu na sio watu!
anawekwa dada mrembo anaambiwa alale pale among vitu kwani mwanamke si kitu ambacho unakinunua wakati wowote au nakosea mbona mnalipa mahela kwa wazazi wao si mmewanunua becarefull usifiche dhambi.
 
Ni mambo ya kawaida hata Pweza Paul aliaminiwa sana wakati wa World Cup!
 
thatha imeandikwa ole wake amtegemeae mwanadamu sasa kama Tanzania tunategemea wanyama............Ole yetu ni zaidi ya yaliyoandikwa
 
Last edited by a moderator:
Duh! Hata mimi sina la kusema

Jana tarehe 29/10/2012 Mnyama KAKAKUONA ameonekana maeneo BUNJU katika Wilaya ya Kinondoni. Wananchi walimwekea NAFAKA, SILAHA ZA JADI, MAJI na vitu vingine ili aweze kutabiri yapi yatakayo jiri katika nchi yetu katika siku za usoni. Ni bahati mbaya sana na jambo la kusikitisha kuwa mnyama huyo alipita vitu vyote ambavyo kama angevibusu pengine tungechekelea na badala yake alikwenda moja kwa moja na kuegemea silaha ya jadi aina ya PANGA.

Binafsi sina la kusema, nawaachia wenzangu kwa hekima na busara mlizopewa na Mwenyezi mungu mtoe michango yenu kuhusu hili.

Nawasilisha.

Source:Kipindi cha JAHAZI, Redio CLOUDS.
 
Tena afadhali wangempa kitu cha konyagi, walimpa ile KIROBA ORIGINAL KUTOKA ARUSHA
255596_406339989410280_66484212_n.jpg

Una maneno we mzee wewe!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom