Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Tena mwambie akununulie gari.
 
 
Kumbe mkuu Kuna wakati unakuwa normal unaongea point!!!?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Leo siko normal kabisa, mpaka najiuliza huyu mimi kweli au ? Narudi kufuta hiyo post.
 
Kupewa number Sio kukubaliwa.
Mimi wote wanao nipa namba huwa wameshanikubali kabisa. Sasa unajua mimi siyo kaka yako, sina nasaba na wewe, tumekutana kwenyw usafiri wa umma, nakuomba namba unafikiri kuna biashara nataka tufanye au nikupe mawaidha ? Mimi naliunga tu utajua mwenyewe mbele ya safari kama kusuka au kunyoa.

Ila watoto wa kike dhaifu sana.

Na unaweza ukanipa namba nisikupigie kabisa.
 
Kulingana na katiba inatakiwa ukae siku ngapi ndipo umwambie "mwenzio inadinda sana"?
Hupaswi kumwambia...inataki um-surprise aje kushtukia tu ashapigwa pumbu...yaani hapo ndo wanakuwaga wajinga...akituma sms usipojibu anakuwa mnyonge...mademu huwa na nyodo pale ambapo hawajagongwa...akishaliwa tu kwisha janja yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…