Kaka zetu kwishney tena hawa

Kaka zetu kwishney tena hawa

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,371
376914_504002112961084_1374327833_n.jpg

558626_502239983137297_1350315201_n.jpg


Hawa kutakuwa tena na usalama kweli?
 
Hawa wanastahili bakora wananiudhi kwelikweli! kwanini wasitafute wanawake kwenye nafasi zenye uhusika wa kike?
 
ngoja nifunge macho kisha nirudi nyuma kimya kimya
 
Wanaume kuvaa nguo za kike si picha nzuri hata kidogo. Ukiona mwanamume ametamani na anavaa nguo ya kike ujue yuko tayari kwa lolote hata kutumiwa kama mwanamke!

Wanawake wanavaa nguo za kiume la lengo la kuonekana tofauti na kuwavutia wanaume ili wawatongoze na wapate huduma toka kwa wanawake. Sasa mwanaume anapovaa nguo za kike anatafuta nini??? kutongozwa???? je atatoa huduma za kike? NAPINGA WANAUME KUVAA NGUO ZA KIKE.

Ukiwa kama mzazi utajisikiaje kukuta Mwanao wa Kiume unayejivunia amevaa kike???? Ukikuta wa Kike kavaa kiume bila shaka haitakustua sana kwa kuwa suluali inastili mwili lakini kimini sket kwa dume! lol
 
This is a free world bwana, Express yourself! ​Iko nini?
 
bora at ahao wanaovaa ivo ukawajua..........kuna mamCHICHA MWIBA yamejaa everiwea yaan n zaidi ya unachokiona apo kwenye fikra zao..tupa kule
 
Jamani haipendezi mwanaume umejaza viazi halafu umevaa miniskirt
 
Hawa wanatokea nchi gani mbona sielewi wanjameni. Napata maudhi midume iliyojazia namna hii kuvaa vimini ni mashoga au kuna shindano la kuzimu?
 
Back
Top Bottom