Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

Una lako jamboo wewee naona mnakuja na style nyingii na badoooooo,sie wengine tuna ndungu zetu huko wanatujaliii sanaaa, kwa hiyo huyo kaka yako ni roho yakee tu kama marehemu Lukindo

Umerudi lini bongo?
 
kama umejaribu kuwasiliana naye bila yeye kurudisha majibu. achana naye wewe angalia maisha yako tu....kama yeye itatokea na kukutafuta hapo sawa.yeye kanwaga ugali wewe mwaga mboga@embojo
 

box limegomesha mkuu.wengi wetu huamini box halidanganyi but safari hii naona limegomesha.jipange upya mkuu
 
Gangamala

Achana na kutegemea ndugu

Hata kama ulitoa sehemu ya urithi wako ni mwenyewe ulishindwa kujipanga kutimiza ndoto zako ukatimiza za mwenzio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Wote Mimi na wewe tuko bongo so hatujui kinachoendelea,lets wait and see
 

amesem alienda kuchukua ela ya bmkubwa sio kuhastle kwa yy mwenyewe,elewa taarfa kdgo
 
ukisikia dereva kakimbia na ela ya boss ndo huyo sasa,alikuwa hakupendi 2,ila kaza
 
mkuu bado mpaka karne hii unapigia mahesabu vya urithi we msamehe tafta vyako pambana usiwe kama wale watoto wa chama flani wanaombea washua wao wafe wapewe kiti
 
huenda bado hajafanikiwa, na pengine anataabika kuliko unavyodhani.
 
Ulishawaza kama huo urithi usingekuwepo maisha yangekuwaje?! Kama wangezaliwa na baba maskiniii, afu akawaacha hapo na bro akazamia meli afu akakata communication? Aisee mie unachonipa narudisha mara milioni. Ukinipa upendo nakupenda hadi uombe poo. Ukinishit mara moja ntakushiti hadi ujishangae. Ntaumia ofcoz lakini siwezi kuumia mwaka mzima. Najua nikiwapa nafasi wanaonizunguka watanipenda pengine kuliko wewe unaenishiti! Maisha marahisi haya jamani, acheni ngebe!
Msome dogo hapo,braza kakacha na fungu lake la urithi masiku yanasonga bro anajidai hata simu tu hana muda wa kutwanga!!!
 
My dear, kama ni muamini utajua unao kaka wengi na dada wengi wanaokujali na kukupenda. Focus, fight utoke kivyako na enjoy mapendo. Kama akifa kwa kuchagua kukutenga achana nae, siku akitokea mpokee kwa upendo tuu na usiulize. Si ajabu analala kanisani ama kwa homeless pple aisee. Usimhukumu manake nawe utahukumiwa. Muombe Mungu amtunze na ampe furaha, na akupe furaha nawe pia.
 
embojo, nataka kukuchallenge tu uuchunguze moyo wako. Angekuwa alichukua hiyo mirathi na kwenda kulima shinyanga na akakata mawasiliano, ungeumia kwa kiasi hichi? OLESAIDIMU, ungeichukuliaje hii? Ungekuwa worried kama jamaa yuko ok na anapata hata mlo ama?
 
Last edited by a moderator:
Tuko page moja business partner aka fellow consultant hahaha. Yaani wewe kisasi chako kama changu. Tena motivation kubwa kwangu is when nobody expects me to make it. Huyo kaka dawa yake akirudi akukute umeshatangulia balaa, afu hakuna kumuuliza wala kujadili.unampa 'im glad you are ok, that is all that matters'.
 
mkuu bado mpaka karne hii unapigia mahesabu vya urithi we msamehe tafta vyako pambana usiwe kama wale watoto wa chama flani wanaombea washua wao wafe wapewe kiti

Wewe umeelewa mada au na wewe ni diaspora anaekurupuka tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…