Msaada: Kaka yangu anateswa bila ya hatia

Sidhani kama hilo onyo lako lina uhusiano wowote na hili tukio, kilichopo hapa nikionacho mie ndio wanachokiona wengi ni hila za mama mkwe zinazosababishwa na mama huyo kukataa mahusiano ya huyo kijana na mwanae wa kike, hata kama huyo Dada asingekua na mtoto basi huyo mama angeweza kumzushia mengine mengi hata ya wizi na kwa bahati mbaya wizi hauthibitishwi hospitalini wala wapi na angefungwa moja kwa moja, kikubwa huyo kijana akitoka jela aachane na huyo mwanamke hiyo sio familia ya kujihusisha nayo
Siowi mwanamke mwenye mtotot kamwe, kama umesha zalishwa imekula kwako tutakutumia mdogo mdogo tu kama MAGU, kama umezaliswa huna maana ya kuolewa
 
Nyoosha kiswahili hakuna mama Mkwe hapo maana hawajaoana Kwa maelezo ta uchumba Pili huyo kaka ako ni bwege au kapewa limbwata au alifanya kweli hio madude unawezaje kuendelea kuwa karibu na hiyo familia kubaka ???? Ingekua Mimi nishahama mkoa huyo unayemuita mama Mkwe hamhitaji mkulima wake achape lapa mapema ataozea jela
 
Ni sawa Lakini Mwanamke Aliyezaa Naye Ana haki ya Kupendwa na Kuolewa Kama wanawake Wengine Wamependana Ila Tatizo sio Mwanamke Ni Mama Mkwe
Kama shida ni mama Mkwe Basi mama mzazi anaweza kueleza ukweli anaweza kumtoa Mshkaji in a minute na akafuta kesi
 
Sidhani kama hilo onyo lako lina uhusiano wowote na hili tukio, kilichopo hapa nikionacho mie ndio wanachokiona wengi ni hila za mama mkwe zinazosababishwa na mama huyo kukataa mahusiano ya huyo kijana na mwanae wa kike, hata kama huyo Dada asingekua na mtoto basi huyo mama angeweza kumzushia mengine mengi hata ya wizi na kwa bahati mbaya wizi hauthibitishwi hospitalini wala wapi na angefungwa moja kwa moja, kikubwa huyo kijana akitoka jela aachane na huyo mwanamke hiyo sio familia ya kujihusisha nayo
Inawezekana mama mkwe anataka mahusiana na mkulima wake sasa hawajaweka mambo sawa anamkomesha kama anavyosema
 
Mambo yanayoendelea kule kibiti hayataisha. Mkuu kula kichwa cha mama mkwe akisekane mwenye kesi. Ni chuma kimoja tu maisha yanaendelea.
 
Kama shida ni mama Mkwe Basi mama mzazi anaweza kueleza ukweli anaweza kumtoa Mshkaji in a minute na akafuta kesi
Mara Ya Kwanza Mama Mzazi wa mtoto Akishirkiana Na Baadhi ya Ndugu Zake Ndio Walimtoa Lupango Kwa Sababu wanajua Mama Yao Anamatatizo
 
Habari za Asubuhi Wakuu Nina Kaka Yangu Ambaye Mpaka Sasa Hivi Ninapoongea Yupo Lupango Bila Makosa kisa ni Mama Mkwe Yani Mchumba yake Ana mtoto Ambaye alizaa kabla Hawajakutana BT Katika Mahusiano Yao mama Mkwe Alimzushia Bro Kuwa Kambaka yule mtoto Yani Mjukuu wake Na Wakaenda Hospital kuhakiki ikaonekana Sio Kweli Ikabidi Wa Mwachie Huru Lakini Bado Yule Mama Bado Anamuwinda kwa Kumtumia Askari wamkamate na Juzi wamemkamata Tena Na Inavyoonekana Mama mkwe Anatumia Nguvu ya Pesa kwa Sababu kesi Hamna Ila Shida Yake ni Kumshikisha Adabu Bro ..Msaada Wenu Kisheria Ni Nini ! Kifanyike Ili Bro wangu Awe Free Asisumbuliwe Tena Na huyo mama mkwe na Hao Askari ?...!???
Jamani haya mambo yakuwa wanyonge ukoo mzima matatizo yake ndo haya. Yaani mtu akae lokapu bila kosa lolote halafu nyie mko kimya? Nendeni mkaongee na OCD mumsikilize anasemaje halafu mkiona anaendeshwa na pesa basi nendeni kwa mkuu wa wilaya elezeeni shida zenu mtapata ufumbuzi mkubwa sana

Usisahau kuleta mrejesho
 
Kila siku huwa nawaonya na nawashauri Wanaume humu JF kuwa usije ukafanya Kosa Kuoa Mwanamke ambaye tayari alishazalishwa huko na Mwanaume mwingine halafu ukajidanganya kuwa mtaishi nae vizuri na sijui atakuwa na Mapenzi ya dhati na Wewe. Kaka yako kayataka mwenyewe hayo kwani kama ni Mademu ambao hawakuwa na Watoto nadhani hapo Mtaani Kwenu walikuwepo wengi tu ila Kaka yako ' akashoboka ' na huyo aliyezaa sasa ' yamemkuta '.
Tatizo katafuta mtumba mkuu siunajua mtumba nafuu
 
Kila siku huwa nawaonya na nawashauri Wanaume humu JF kuwa usije ukafanya Kosa Kuoa Mwanamke ambaye tayari alishazalishwa huko na Mwanaume mwingine halafu ukajidanganya kuwa mtaishi nae vizuri na sijui atakuwa na Mapenzi ya dhati na Wewe. Kaka yako kayataka mwenyewe hayo kwani kama ni Mademu ambao hawakuwa na Watoto nadhani hapo Mtaani Kwenu walikuwepo wengi tu ila Kaka yako ' akashoboka ' na huyo aliyezaa sasa ' yamemkuta '.
Kwa picha niliyoipata harakaharaka,huyo mkaka ni marioo.Mwambie aache kupenda mteremko huyo mkaka.
 
Back
Top Bottom