Kaka wa kipare ashindwa kumtongoza Vera Sidika....

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
msome huyu mwamba kwa ufupi afu useme kafeli wapi?

Mpare: Money Penny bwana kuna kisa nataka nikueleze, kuna dada anaitwa Vera Sidika, nilimtongozaga mwaka 2014 nikiwa kenya

Money Penny: aisee, ikawaje?

Mpare: nilikutanishwa nae club bwana na marafiki zangu, ila sina hamu

Money Penny: ulimwambiaje kwani? ulimtongozaje?

Mpare: Oh Daa Vera mimi nakupendaga sana nimejaribu sana kukutafuta na kuwasiliana nawe lakini nakosa, nimekutafuta dm instagram kimyaa... WhatsApp ukaniblock... Snapchat haujibu Leo naona ni Mungu tu amenikutanisha na wewe

Vera sidika: anamuangalia tu anarudi kwenye simu kimyaaa

Mpare: Naomba nisikupotezee Muda mimi nakupendaga nataka niwe mpenzi wako
Naomba unikubalie ombi langu kama upo single lakini

Vera: Yes am very single

Mpare: safi sana mimi nakupenda naomba nikuoe kabisa tuzae Na watoto... hata mapacha naweza kukupatia

Vera Sidika: akamwangalia tu akarudi kwenye simu yake

Mpare: ninaweza kukutunza kwetu Tanzania nina Mali nyingi sana zenye thamani ya bilioni 3 hio ni nje ya mshahara wangu

Vera Sidika: akamwangalia akacheka akaendelea na simu

Mpare: unasemaje mrembo wangu

Vera sidika: akaweka simu yake chini akamwangalia akaanza kuongea

My dia bilion 3 ya Tz ni sawa na dola 1,333,000 za Kimarekani (kwa rate ya tsh 2200 then)

kila mwaka na pokea jumla ya dola mil 2 kufanya appearance Marekani. .. Malaysia... Dubai... London... Abudhabi... Nigeria.... Canada

Nikienda kufanya mziki Nigeria kwa mwaka naingiza dola laki 3

Matumizi yangu kwa mwezi pale nyumbani ni dolar 3000

Vacations zangu kwa mwaka ni dola laki 3

Nikienda kumwona dokta London kwa ajili ya kuangaliwa ngozi yangu kama imechuja au ipo na standard natumia dola laki 1
Bado matumizi yangu ya shopping binafsi, makeups, nguo, gari, shoes, bags,
Kwahiyo, hii ni business card yangu, naomba unitafute ukiwa tayari kumeet my costs of living for life,
OK, bye for now, ''see you at the top where rich people dont brag like you''

Mpare akaishiwa nguvu.

Je ingekuwa ni wewe ungemtafuta tena Vera Sidika?

Mwamba wa kipare amekosea wapi kwenye kutongoza?

MY THREAD

Story: Kutega(Seduction)

Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....

Story: Fumanizi la ukubwani

 
Mademu wa aina hii inabidi uwateke kihisia na hapa unamsifia personality yake alafu unakuwa mcheshi, angemuuliza " can we dance a little bit"? Hapo hamna kuingiza pigo za nakupenda, wakati anacheza naye ndo anaanza kumsifia jinsi alivyo sio maneno ya " we mrembo" , haya maneno ashaambiwa na wanaume wengi, hapa ni kucheza na personality tu.
.
Kwanza mpare alivaaje? Maana appearance inamatter sana.
 
Mademu wa aina hii inabidi uwateke kihisia na hapa unamsifia personality yake alafu unakuwa mcheshi, angemuuliza " can we dance a little bit"? Hapo hamna kuingiza pigo za nakupenda, wakati anacheza naye ndo anaanza kumsifia jinsi alivyo sio maneno ya " we mrembo" , haya maneno ashaambiwa na wanaume wengi, hapa ni kucheza na personality tu.
.
Kwanza mpare alivaaje? Maana appearance inamatter sana.
MPARE Tajiri huyu lakini
 
Back
Top Bottom