Kaka wa boyfriend wangu ananitaka

Huu ndio unaitwa umalaya, unakaa meza moja mtu na kaka yake miboro yao wote wameshakusokomeza, huu ni uchafu haupaswi kufanywa na mtu mwenye akili zake.
 

Wacha upuuzi wewe, kama unashindwa kutoa uamuzi mdogo kama huu basi na wewe ni kicheche tu kama huyo mwenzio uliyemuita kicheche!

Yaan shemeji yako ni mwiko kujilegeza, ushatembea na mdogo wake huyo ni shemejiyo usilete mambo ya utandawazi hapa! Utamuangalia vipi huyo aliyekuwa boyfriend wako hata kama huyo kaka mtu atakuoa?

Wewe ningekujua ningemtahadharisha dada yako mana shemejiyo (mumewe dada yako) akikutaka utamkubali pambaf kabisa
 
Huu ndio unaitwa umalaya, unakaa meza moja mtu na kaka yake miboro yao wote wameshakusokomeza, huu ni uchafu haupaswi kufanywa na mtu mwenye akili zake.

Daaaaaah....nachojaribu kukiona kwa huyu binti anataka kumkomesha huyo dogo aliyeoa wakati anajidhalilisha.
 
nikisoma topics zako napata shida ya kukuamini
 
Kaombe ushauri kwa babu wa loliondo
 
Mimi naona mmefanana akili,, olewa tu bidada, angalia tu neno mahari lisiwe gia ya kuingia, halafu uachwe unasoma namba za gari
^^

Hahahahaah...umenichekesha kweli...na ni kweli wanafanana akili...lol
 
kwa hiyo ndio umeamua kuja kunileta huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…