Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

comment ya inaonesha nimepaniki! mi mzima.
Mkuu yani hz kazi za nyumbani Acha tu, ni easily manageable kama unashinda home,ila kama una kazi mwanamke utachora chinii
Afu umeoa?
 
i was very selective kuchagua posts zenu nilizo quote.......
Mi nmesema kupanga dada wa kazi kulighten domestic Labour,hapo ishu iko wapy,mfano mkeo utapenda afanye kazi zooote?
 
Kijijini bado kunanifaa kwenda kuchukua mke.
 
Mi nmesema kupanga dada wa kazi kulighten domestic Labour,hapo ishu iko wapy,mfano mkeo utapenda afanye kazi zooote?
Inategemea.....hawezi kufanya kazi zote, haiwezekani.
 
mm binafsi nasemaga kabsa biashara za kuniona utegemee ntafua jeans zako sahau..kwanza mikono yng inachubuka nikifua, pili kaz kusaidiana manzeee, tatu toka nizaliwe sijawai ona mama anamfulia baba, nne cyo mrembo lakn n mvivu hahahaaha.
Endelea kusubiri ndoa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…