Kaka unafanya “Sikirabu''?!

Maeneo ya Sinza utasikia "Kaka nicusikirabu"...ukisema hapana, atakuambia..."Nywele zako zina mba nikuoshe na dawa"..utasikia kaa basi kwenye foleni ya ili usubiri kuoshwa kichwa...wakati mwingine huwa naondoka tu na nywele zangu...
Na olewako ukubali kufanyiwa hayo yote utajuta hyo bili utakayoletewa,...
Kama shilingi ngapi
 
niliwahi kuletewa bill 30,000 kuuliza naambiwa eti walinipaka chumvi ,tena chumvi hii tunayoijua sodium chloride usoni kwa sh 15000 wakati robo kilo ya chumvi dukani sh 200
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom