wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 286
Wadau,
Hii nimekutana nayo Julius Nyerere International Airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambaye ana kijikampuni cha huduma za usafiri wa anga.
Kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba,mkasa ulikuwa hivi,m-baba huyu aliyekuwa ameoa kwa ndoa ya kanisani na kufanikiwa kupata watoto wawili,alimchukua mdogo wake wa kike kutoka Bukoba ili aweze kumsaidia na kumuhudumia wifi yake (mke wa huyo m-baba) ambaye alikuwa amejifungua mtoto wao wa pili.
Lakini baada ya muda m-baba huyo akaanza kucheza mchezo mchafu na mdogo wake (ambaye ni tumbo moja na yeye).
Migogoro ilianza ndani ya ndoa hatimaye mke akapata habari kuwa wifi yake ndio mwizi wake.
Baada ya kuweka mtego na kuwafuma mmama wa watu hakutaka makuu,alifungasha kila kilicho chake na kusepa.
Nimeambiwa kuwa ni miaka sasa dada na kaka huyo wanaishi kama mume na mke,wazazi wao waliamua kuwatenga baada ya kupata habari hizo na mpaka muda huu hawajawahi kupata mtoto.
Niliwashuhudia wanandugu hao wakiwa wanaingia kazini,naambiwa ni kama kumbikumbi,huwa wanafuatana kila sehemu wanayokwenda.
Imenistua sana,hii laana bandugu.