nitaua bila panga wangu mumuache tenaa hee subiri.
nitaua bila panga wangu mumuache tenaa hee subiri.
sweetheart, unakuja au?
Lady d keshasema she is fed up.
Arushaone alikuwa tajiri enzi zetu;
Mkuu tatizo hawa jamaa ni wabishi sana
Kitu gani hiki umesema hapa?Sweetheart, unakuja au?
Lady d keshasema she is fed up.
asa si uongee na wewe kiutu uzima?hahaha acha kuvunga!tena kwako
endelea tuπ±π±π±ππππ
Aisee nimekupenda bure.
Naomba tuunde team ya kuiba ze husbands of azas.:biggrin:
actuary hiri rijamaa ni ritajiri mpaka sasa, na ukipanda hayo mabasi na ukajitamburisha mwana jf huripi nauri.
cc:: kiwatengu Arushaone Lady doctor
Mambo ya Billionaire wa Arusha hayo.. Arushaone.
Ndiyo maana mabinti wakali wakali huwa wana sticky kwa jamaa yangu.
Mamndenyi, black woman na Madame B haya mambo mlimwacha nao?
kwa sasa Lady doctor anayamaintain kwa ukaribu zaidi. (tunza mali shemu)..
hapa kiwatengu nikishangaa baada yakujikuta narudishiwa nauli..
Mnisamehe kwa kuiweka picha yangu halisi...