Kaka jambazi,huyu hataki kunipa!

Kaka jambazi,huyu hataki kunipa!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Jamaa mmoja akiwa katika basi,alikaa karibu na dada mmoja mrembo balaa.Wakiwa njiani,jamaa alijaribu kumtongoza yule binti bila mafanikio.Mara ghafla lile basi likatekwa na majambazi.Majambazi wakaamuru abiria waunde pair i.e(mwanamke vs mwanaume) halafu waanze Ku-DO!Jamaa kwa kasi ya ajabu alimdaka yule dada mrembo.Lakini yule dada alikataa katakata ku-do na mshikaji.Jamaa ikaamua kuinua kidole juu,ikasema;'KAKA JAMBAZI,HUYU HAPA HATAKI KUNIPA!
 
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kama kutekwa na majambazi ni raha hivyo hata mi nataka.......ila inabidi niwe nakwepa kukaa na vikongwe.
 
Sio kikongwe tu wewe. Je ukikaa na mama yako!? Halafu kaka jambazi akakukomalie uchimbe mgodi?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom