Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,252
Reaction score
24,107
Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu.

Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa.

Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro.

Basi kaka na mzee zikawa haziivi kabisa yani bro akaona isiwe tabu akasepa zanzibar kwa elimu yake kipindi kile akapata kazi kwenye hoteli ya kitalii.

Akiwa huko akabahatika kununua ng'ombe na kujenga maeneo ya nyumbani huku.

Basi hatimae akarudi.....mzee hasira zimeshashuka.

Bro akapata tena ajira japo si rasmi sana kutoka kwenye company moja.

Sisi mwanzoni wa miaka ya 2000 ndo tunajiandaa Olevel alikuwa anatumbia yyte mwenye nia ya kusomea ualimu katika familia yetu sitatoa msaada wowote kwakwe hata kama ana akili namna gani.

Daah tulikuwa tunajiuliza mbona bro ualimu anauchukia hivi asee......

Siku zikasonga kweli kuna sister yetu akaenda chuo cha ualimu bro alikataa kabisa kusaidia.

Kufupisha story hii baada ya mimi kumaliza kidato cha nne akasema toka nyumbani kajitafutie mimi nilifeli ila point za kwenda ualimu zilikuwa zinatosha kabisa kipindi hicho.

Nikaogopa hata kumuomba msaada maana kashasema ndo tumemaliza la saba tu kuwa hatasomesha.

Kweli bana baada ya kumaliza kidato cha nne tulitoroka siku hiyohiyo tunakenda kwa bro mimi na mshikaji akatupa nauli na connection ya kwenda Dar kutafuta maisha ukumbe tumetokana kijijini huko bugilagofyi ndanindani huko mwenza ndo ilikuwa first time kuona lami na kupanda gari!!

Imagine kasoma primary hadi sekondari hajawahi kabisa kupanda gari asee....

Tulifika Dar tukapokelewa na mshikaji wake baada ya siku tukazama porini pwani huko huko........

Badae tukarudi nikaanza ufugaji wa kuku kiaina then nikaenda Veta.

Nikatoka veta nikaanza kufuga tena kwa hasira sana ghafla wazo la kujiajiri kwenye ufundi niliosomea likafutika kabisa.

Eee bana ufugaji ukatiki sana mwisho nikajiingiza kwenye mahusiano na kibinti cha shule mara imooo Ndio imooo nikaona isiwe tabu nikauza kuku nikachimba mbio.

Bila mawasiliano yoyote hata mama sikumwambia naenda wapi...

Binti yule kuona nimesepa kwa sababu ile akafanya aliyofanya mimba ikatoka.. Muda huo Mimi sijui kitu mazee. Niko zangu sehemu nakomaa na kuchimba mitaro ya maji kwenye jiji fln

Sina simu wala laini niko zangu na sijawahi mtafuta hata ndg wala rafiki kama miezi4 hivi.

Siku moja nikamcheki jamaa fln no yake nilikuwa naye kichwani wa kijijini hapo ana duka na nilikuwa namfundisha ufugaji alifurahi sana.

Huku anasema "Nikifa MkeWangu Asiolewe tulijua wewe ushajinyonga kabisa asee"

Basi akasema hata mzee wako mwalimu kandoro katoka hapa muda sio mrefu vipi ni mwambie nikimuona nikamwambia hapana wewe nipe no yake tu maana hakika sikuwa nayo kichwani kabisa hata ya mama.

Basi jamaa akanitumia no nikaiandika mahali. Nikaja kumcheki mzee acha anitukane weee mzee alilalamika sana akasema mimi ndo nimesababisha ile mimba ikatolewa kwani ningebaki wangeyamliza bila mimi kwenda segerea!!

Akaniuliza upo wapi nikamdanganya ila hamu yangu niongee na mama akasema ameenda msibani niwa tafute jioni.

Nikamuambia simu sina maana sina hela hivyo ni mtu kanipa njiani tu....

Baada ya siku 3 nikamcheki tena mama alifurahi sana alikuwa ameenda hadi kwa paroko kuniombe ili niwe mzima na nirudi nyumbani.

Nikabana kule kule nikapata kibarua cha jamaa mlima Bustani nikasmwa ewaah hzi ndo kazi zangu sasa....

Nilipiga kazi hadi yule jamaa akanirudisha kwakwe nikawa naishi kwake kula bure kulala bure na malipo kila wiki 60k

Badae nikasema huu ujinga huu nikamcheki mama tena mama akaniambia wale kuku nilio waacha wamezaliana sana sema wamekufakufa wamebaki kama 40 hivi.

Siku moja nikawaaga pale kwa jamaa familia walilia mno pale ila nitafanyaje sasa?

Nikaenda nikafika nikakuta yule demu karibia anamaliza la7. Na kuku hawakuwa 40 ila walikuwa 73 wakwemo na kuku ambao mzee alijimilikisha ila mimi niliwajua ni wangu nikawataifisha wote kabisa wakafikia idadi ya kuku 107!
Uzuri tangu utotoni wazazi wananiamni mno kwenye kupambana kuliko mtoto yyte yule!!

Nirudi kwa kaka sasa. Siku moja nimekaa nikaanza kufikiria sana kwanini ualimu alikuwa anaupiga vita sana?

Hapo ni baada kuajiriwa tena kama agent wa Sigara ,vocha na hata uwakala wa ki bank mimi ndo nikapewa u foreman kwenye ofisi hiyo

Nikafutilia sana maisha ya walimu nikarudisha kumbukumbu za maisha ya nyumbani mzee alikuwa akienda kupokea mshahara analeta debe la dagaa1 au mawili

Samaki wale wanaotolewa kwenye mifupa baada ya sangara kunyofolewa minofu yote sasa vile vi minofu vinavyobako hutengenezwa mduara fln. Mzee alikuwa analeta vile au zile fulu maarufu kwa jina la mkapa wengine chimabhuyu.

Na mananasi halafu alikuwa analalamika hana hela hata akitoka tu kupokea ukimuomba hadi tulimzoea hivyo.

Basi bana nikaanza kufanya research ya maisha ya waalimu na wengine kuwa nao urafiki kabisa nikagundua bro aliona mbali sana.

Kwetu kama sio kufuga kuku,ng'ombe na mbuzi wenyewe basi kuona nyama ya kuku tena kwa kununua basi ni ajari uzuri tulikuwa tunafuga vyote hivyo.

Japo kijijini huko tulikuwa tunaheshimiwa na sisi kuona ualimu ni dili.

Hata maisha ya waalimu wenzake na baba ni hayo hayo dagaa kwenda mbele.

Bro Alistawi sana kuliko jamaa zake walio maliza nae shule na wao wakaenda ualimu na kuajiriwa maisha yao hadi sasa ndo hivyo tena.

Jana tumekaaa na kaka yangu nikamuuliza akanimbia mengi sana na mimi nimepongeza sana kunishawishi nisiende ualimu.

Bro alisema ualimu unadumaza sana akili na baada ya kumaliza kuwasema waalimu akaniambia namimi ukikaa kwenye ajira yako hii kwa miaka2 mbele utakuwa umefeli kimaisha kwa 70%

Uzuri mimi kila kitu kikubwa kinachihusu maishani yangu huwa nakiona hata kikao chetu na bro nilikuwa nishakiona tangu siku nyingi.

Bro akaniambia kama.Nssf yako iko kiasi hiki au zaidi acha kazi hiyo nenda kasimamie mwenyewe mambo yako hata kama ukifeli bado mida unao wa kutengeneza ila ukisubiri hadi ufikishe miaka kadhaa umefeli dogo labda itokee bahati tu.

Binafsi nilikuwa shapanga pia ku move out niendelee na mambo yangu asa bro kanitosha kidonda tu .........

Ukumbuke kuna dada yetu na kaka yetu walisomea ualimu.

Ila ukweli ndo huo hadi sasa hawajajenga ma sio kwamba hawataki au ni walevi ama wazinzi ni hapana...

Sijaandika hapa kubeza ualimu kazi hii no kufanya kwq moyo tu ila kutoboa ni ngumu sana.

Wapo walitoboa lkni kwenye 10 ni 2 huu ndo ukweli.

Mnisamehe

FB_IMG_1741506658624.jpg
 
View attachment 3432360
Unatoka kijiji gani huko Simiyu janja?
 
Si rahisi kutoboa ukiwa mwalimu, ila inawezekana.
It's about kuwa smart na kujiongeza sana. Vivyo hivyo kwa kada zingine nyingi pia.
 
Kama IPO , IPO haijalishi wewe ni mgambo au mwalimu .

Katika maisha kuna watu wana destiny kubwa kila anachogusa odds zinakuwa upande wake.

Nachojua watazania wana matatizo ya kutokuwa na maono .

Hapo umegusia walimu Ila fatilia Askari police , wanajeshi ,n.k wote hawa ukimkuta kafanikiwa ujue ni kajumba , kagari na ameao hamna cha ziada .
 
Mbona mie mwalimu na nina miliki nyumba 3 na gari moja na na ninataka kuanzisha kampuni kupanga n kuchagua
 
Sisi walimu tunasema kabla haujafa mkeo ataolewa na mwalimu.
 
Unazungumzia issue ya kukosa financial management .

MTU anakopa pesa anakimbilia Kununua Gari ambalo analitumia katika matumizi huku hana side hustle business.

Walimu wanalipwa hela ndogo ila pia huwa wana IQ ndogo Sana .

Kwahiyo hao hata wakilipwa Kama wabunge hawawezi kuendelea shida ni akili zao ndogo.
 
Back
Top Bottom