kusomea ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita 2026; Kama unataka kusomea Ualimu nenda diploma achana na degree

    Nadhani humu Kuna wazazi/walezi watapitia ujumbe wangu. Kama una mtoto anamaliza kidato cha sita mwaka huu na anataka ajiunge na ualimu mshauri akasome diploma ya ualimu akikataa basi muache. mshauri apitie muongozo wa mtaàla mpya ulioboreshwa atagundua kitu. KAZI na Utu Tunasonga Mbele 🇹🇿
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

    Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu. Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa. Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
  3. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotarajia kuanza kusoma program za Ualimu 2024

    Leo 13/07/2024 matokeo ya kidato cha sita yametoka na ufaulu ni 99.43% Nawapongeza waliofaulu, lakini pia nawaasa kuwa makini sana katika kuchagua program za kusoma, maana matokeo mazuri ya kidato Cha nne na sita hayatokuwa na maana sana endapo ukifeli kuchagua program ya kusoma chuo. Kwa...
Back
Top Bottom