miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kama yule wa msikitini liwale
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.
Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.
Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.
Dunia imekwisha, kaka na dada?
Sijui binadamu tunaelekea wapi?
we kafiri kutukana haisaidii chochote,huyo mtoto amejifunza kutoka kwa makasisi kila siku wanatangazwa kwenye tv wanalawiti watoto.
thats it Maadili yanachangia 100%.Mtoto wa kiislam hawezi fanya hivo huyo atakua anawaiga wale makasisi wa Vatican kwa kunajisi wa22.
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
WaliowafumaniaOk...nan wa kulaumiwa?!
Wazazi/walezi au watoto?
Hapo naona umesema nini kifanyike
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?
Hicho ulichoandika kina msukumo wa majini ndani yake; Pengo (mapengo, usikusudia kutukana asiyehusika); ni maagizo toka vatcan (huo ni uongo); Kashfa ya mapdri kule vatcan (pia ni uongo , matukio hayo yalitokea marekani), vatcan kuwakingia kifua (pia ni uongo, haikuwakingia kifua kam hawakuchukuliwa hatua ni uzembe wa wanaosimamia sheria ktk sheria za nchi zao). Finally, hao kaka na dada si wa kwanza ndo maana hata sheria zikatungwa kwa hilo, tusiwafanye ndiyo wadhambi wakubwa kuliko wengine.Kama yule Padri Mushi wa Kimara nasikia Mapengo ooh sorry Pengo kafanya juu chini katoka. Ni maagizo toka Vatcan, au umesahau ile kashfa ya mapdri kule vatcan kuwalawiti watoto wadogo na kanisa katoliki kuwakingia kifua.
acha hizo tumekushtukia lengo lako maxmashimba lengo kuchafua hali ya hewa tu na udini wako hauna uislam wowote ata ubadili vipi I'd unajulikana tu.Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Maadili yanahusika hapa, hao watoto wangelelewa katika Tabia za kiislam wasingethubutu kufanya hayo.
Hicho ulichoandika kina msukumo wa majini ndani yake; Pengo (mapengo, usikusudia kutukana asiyehusika); ni maagizo toka vatcan (huo ni uongo); Kashfa ya mapdri kule vatcan (pia ni uongo , matukio hayo yalitokea marekani), vatcan kuwakingia kifua (pia ni uongo, haikuwakingia kifua kam hawakuchukuliwa hatua ni uzembe wa wanaosimamia sheria ktk sheria za nchi zao). Finally, hao kaka na dada si wa kwanza ndo maana hata sheria zikatungwa kwa hilo, tusiwafanye ndiyo wadhambi wakubwa kuliko wengine.
acha hizo tumekushtukia lengo lako maxmashimba lengo kuchafua hali ya hewa tu na udini wako hauna uislam wowote ata ubadili vipi I'd unajulikana tu.