Kaka afumaniwa na dada ake

Kaka afumaniwa na dada ake

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.

Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.

Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.

Dunia imekwisha, kaka na dada?

Sijui binadamu tunaelekea wapi?
 
Ni tukio linatokea sasa hivi hapa tabata mtaa wa amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.

Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.

Inasemekana kaka ana miaka 21na mdogo wake ni 18....

Dunia imekwisha, kaka na dada??? sijui binadamu tunaelekea wapi???
Mi ningekuwa karibu ningewazaba vibao hao wazazi...
 
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?

Hizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?
 
Afadhali hao wanaoa ,je wale makasisi wanaobaka watoto makanisani,kuoana mme na mme?

mkuu hivi yule aliyemlawiti mtoto msikitini tena huku kamshikisha Quran naye ni kasisi?
na yule aliyemlawiti mtoto na kisha kumuua naye ni kasisi? au hukuyasikia hayo na hujui aliyefanya hivo?
mkuu kiufupi dini haitendi ushenzi wanaotenda ushenzi ni watu, uwe Muslim au Christian, matendo ni ya kwako binafsi usisingizie dini na watu wa dini zote tu wapo wanaotenda ushenzi na wapo wema.
 
Hizo story tuu! Nashangaa unasahau mapema sana! Ushoga uliokithiri hapo Zanzibar na Mombasa ni wakristo? Zaidi ni kwamba kuna shoga alihojiwa clouds FM kipindi cha njia panda wateja wake wakuu ni waarabu wa mwanza alikokulia na hapo tusemeje?

Story gani habari zinatangazwa na wenzako kina UN,US,Bbc,huyo shoga ahusiani na uislam kwa sababu sheria ya kiislam mtu kama huyo hafai ktk jamii.
 
Back
Top Bottom