Kajitundika kwenye FACEBOOK...

kuna jamaa amehukumiwa UK juzi kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la ku-hack fb account ya selena gomez (gf wa beiber). Hiyo sheria ya computer misuse act inabidi ianzishwe na huku watu kama ww, unamsababishie huyu 'ndito' unnecessary attention upate adhabu yako......katika zama hizi za 'sosho netiweki' hype unatakiwa kwenda sawa na 'pace' yake......kama huwezi ujue wewe sio mtumizi-mlengwa!
 
Natamani ila nashindwa nifanyeje, daaahhh
akinipa nachukua, no. yake tafadhali, mie niko huku KURASINI, UZALENDO UMENISHINDA eeehhh!!!! mmmmhhh!!! jamani iiiii,,
 
387567_112351705545630_100003124045166_70204_466516607_n.jpg


Kajitundika kwenye FACEBOOK...

watakaoshangaa hapa ni watu Maskini tu, kwa wenye FEDHA hakuna cha ajabu hapo.
 
Bora hata ungejidanganyishia unakaa masaki jirani na le mutuz. Kurasini huko shimo la udongo sijui? Hata friendship request haikubaliki baba, RIP
Natamani ila nashindwa nifanyeje, daaahhh
akinipa nachukua, no. yake tafadhali, mie niko huku KURASINI, UZALENDO UMENISHINDA eeehhh!!!! mmmmhhh!!! jamani iiiii,,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom