Kajiandae imefia wapi au watu tayari washaizika?

Kajiandae imefia wapi au watu tayari washaizika?

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Hii ngoma imefia wapi maana kitaani ni mziki by darasa na kokoro kwa mbaaaaaaaaali lkn hii ya wazee wa masauti, wazee wa kutengeneza mziki mzuri mbona siisikii au ishajifia tyari....

Natanguliza sorry kwa nitakaowakera ila mapovu nooooooooo...!!!
 
Una umri gani? ??
 
Vijana wa TZ kazi mnayo, badala ya kufikiria namna ya kujitengenezea future yako nzuri unahangaika na watu wengine wanaojitafutia riziki yao kihalali! Mungu atusamehe na kizazi hiki!
Povuuuuu linakutoka
 
watu wali0k0sa kaz ni kama wewe una0nekana una miaka 15 maana mawazo mgand0 umekalia kuzulula mtaan kusikia nymb0 utadhan unalipwa
Kudhihirisha kuwa kauli yako ni y kweli ni huwo mda ulotumia kusoma hii post na kuijibu....
 
Hahahaaa pale team mziki mzuri wanapotoa ngoma inabuma ndani ya mwezi mmoja daah inashangaza sana
 
Kudhihirisha kuwa kauli yako ni y kweli ni huwo mda ulotumia kusoma hii post na kuijibu....
m0ja ya wa2 wajinga n wewe haka kamda huwa nko jf kuelimika na kuelimisha p0st kama zako unaitaji ukapimwe
 
hahah mtoa uzi agiza peps ya baridi kwa mangi boss mimi ila unalipa mwenyewe.
 
Halafu wenyewe wanajiita team muziki mzuri, mziki mzuri unaishia siku 3 tu hamna kitu.
 
Vijana wa TZ kazi mnayo, badala ya kufikiria namna ya kujitengenezea future yako nzuri unahangaika na watu wengine wanaojitafutia riziki yao kihalali! Mungu atusamehe na kizazi hiki!
Wewe Unaehangaika Kutafuta, Muda Huu Unafanya Nini Humu - Au Mlinzi ?
 
Huwezi kuishi kutegemea kick
Kupitia msanii mwenzei ukafanya vizuri,
Huna malengo
Huna ubunifu
Hujitumi
Kutafuta chokochoko kila kukicha
Kutegemea mashabiki wajinga wajinga
Utaendelea kuwatandia jamvi wenzie kila mwaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom