Kajiandae imefia wapi au watu tayari washaizika?

Kajiandae imefia wapi au watu tayari washaizika?

Kokoro ina views 1.3m na ina mwezi mmoja while kajiandae ina 1.5m views na ina miezi mitatu so linganisha apo ww mwenyewe
Pls Come back!, muziki Ina Miaka mingapi, Leo Ina viewers wangapi,
 
Aisee hii thread ina povu za kutosha, inaonyesha watu bado 'hawajiandaa' kuambiwa ukweli
 
Serikali ajirini vijana waliobaki mtaani,wanaleta shida huku eti
 
Huwezi kuishi kutegemea kick
Kupitia msanii mwenzei ukafanya vizuri,
Huna malengo
Huna ubunifu
Hujitumi
Kutafuta chokochoko kila kukicha
Kutegemea mashabiki wajinga wajinga
Utaendelea kuwatandia jamvi wenzie kila mwaka
Kama act wazalendo vile.
 
Aisee hii thread ina povu za kutosha, inaonyesha watu bado 'hawajiandaa' kuambiwa ukweli
Wanajiita mziki mzuri alafu nyimbo zo zinakuwa na half-life ndogo kweli kama maisha ya mbu
 
Hivi yule "video queen wa kajiandae" ni mtz/mbongo au msauzi/mzulu?????? Demu ana mshape wa haja, aisee kweli kuna watoto wameumbwa jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom