Kajiandae imefia wapi au watu tayari washaizika?

Kajiandae imefia wapi au watu tayari washaizika?

Mmmmmh watu nao mnajidai mnafuture mpka mnamuona aliye post mjingaa achen kujikuta na nyiee kutuma post hii aimaanish kuwa ndo ana future
 
moderator mbona nyuzi zangu mnazihamisha jukwaa siku izi kisa nn
 
Halafu wenyewe wanajiita team muziki mzuri, mziki mzuri unaishia siku 3 tu hamna kitu.
hahahahaaaaa, wanaogopa kutoa wimbo mpya maana hari ngumu kila ngoma wakitoa boko
 
hahahahaaaaa, wanaogopa kutoa wimbo mpya maana hari ngumu kila ngoma wakitoa boko
Na wakitaka kutoa tu,lazima wamchokoze MOND,la sivyo itasikika siku ya kwanza ikipata bahati basi utausikia tena siku ya pili kwenye radio yao EA radio.
 
Kokoro imeishia wapi pamoja na promo za kimataisha, linganisha viewers kati ya Kajiandae na Kokoro ndo upate majibu
 
Povuuuuu linakutoka
Msikilize kaka yako anachokuelekeza, Huyo katangulia kuliona jua,hivyo basi hatoi povu Bali anakurekebisha acha zululu zululuu kusikiliza nyimbo zinazopigwa hebu tuliza akili yako ufikirie single yako ya maisha ambayo bado haijatoka
 
Tatizo Darassa....jamaa kaonesha kuwa mziki sio jina but ni performance....ukitoa wimbo mzuri hata kama upo shimoni utasikika tu....acha maneno weka mziki bhanaaaa...team ushenzi ushenzi tupa kulee alaaaah
 
Salome ndio ngoma no.1 inayotrend huko Kenya
na kama Hapa Dk 20 zilizopita nimesikia inapigwa kwenye Channel E... asubuhi tu nimeamka nasikia jirani yangu ameweka sauti ya juu kabisa..

Nadhani unauliza "iko wapi" baada ya kuifuta kwenye simu yako mkuu

acheni ushamba nyie,
kila kilichokua na mwanzo akikosi mwisho coz majibu hayo uliyotoa anaweza kuyatoa mtu mwingine kutetea Kajiandae.
 
acheni ushamba nyie,
kila kilichokua na mwanzo akikosi mwisho coz majibu hayo uliyotoa anaweza kuyatoa mtu mwingine kutetea Kajiandae.
Bila kiki kwa domo hamna jipya kajiandae buuuuuuuuuuumae imebuma.....promo la kufa mtu alafu ngoma imetoka boko.....mtaaani ni mziki tu na kokoro kajiandae kapuni
 
Bila kiki kwa domo hamna jipya kajiandae buuuuuuuuuuumae imebuma.....promo la kufa mtu alafu ngoma imetoka boko.....mtaaani ni mziki tu na kokoro kajiandae kapuni

umetazama views za hizo nyimbo mbili you tube??
 
Kokoro imeishia wapi pamoja na promo za kimataisha, linganisha viewers kati ya Kajiandae na Kokoro ndo upate majibu
Kokoro ina views 1.3m na ina mwezi mmoja while kajiandae ina 1.5m views na ina miezi mitatu so linganisha apo ww mwenyewe
 
Team mziki mzuri wanapoatoa ngoma yenye radha ya big g siku tatu tu kapuni
 
Kajiandae siku hizi wamekua wazee wakudandia shoo za watu
Nasikia walikua na saprizi ya shoo ya sauti solo ya kenya
 
Hata ule wimbo wa kibakuli aje ulikufa jioni una view chache tu kwa mwaka mzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom