Kajala kapata kazi benki

Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako mpya
View attachment 1978706View attachment 1978708
Wema,Uwoya,Kajala na umaharufu wao wote na connections zao zote wamekosa shughuri rasmi za kuwaingizia kipato na kuwapa heshima kwenye jamii,asilimia 80 ya walivyonavyo,wamevipata kwa kudanga!??

Sasa kama Hawa maisha yamewachapa mpaka ikabidi watumie miili yao kuishi,jiulize Yule binti wa masasi,Karagwe,moshono,au ushirombo asiye na Elimu na exposure,Dunia itamtendaje?

Wazazi somesheni mtoto wa kike Ili asiwe tegemezi maishani
 
Namba hutoi na jina la benki hutoi kweli wewe ni msaga sumu, a menace to society.
1634608943214.png
 
Sasa kwanini useme jina la benki ni siri au we ndio umemuona mwenyewe? Si anaingia anatoka watu wanamuona, na si anahudumia wateja wanamuona kila siku?

Kwanza kwanini hii ni habari au hatakiwi kufanya kazi?
 
Sasa sababu za kibiashara kivipi wabongo kwa ushamba bwana nyie ndo mkiwa viongozi mnasema mtu asipige picha kwenye pantoni na Daraja la Kigamboni eti kwa sababu za kiusalama.
Hahaha umeuwaa

Hivi mbona ukipanda bombadia tunapiga picha freshi tu?
 
Huoni kua ukitaja jina la hiyo Bank unakua umewapigia bonge la promo? au labda utupe sababu zako za kutokutaja jina la Bank.
 
benki ya uwakala hizi tunazo zifahamu zinatengenezwa kama benki alafu pembeni vimashine vya POS
 
Back
Top Bottom