Kaja kuomba samahani bila aibu



Vema nimekusoma ushauri wangu sasa ni kwamba maamuzi ya mwisho ktk sakata hili anayo mtalaka wake wapambanishe ili usikie msimamo wa ndugu yenu
Hilo tu basi mwafaka utakuwa umepatikana
 
Vema nimekusoma ushauri wangu sasa ni kwamba maamuzi ya mwisho ktk sakata hili anayo mtalaka wake wapambanishe ili usikie msimamo wa ndugu yenu
Hilo tu basi mwafaka utakuwa umepatikana
Mdogo wangu amesema aende akalale na MAMAKE kwanza akishamaliza yuko tayari kurudi kwake.
 
@apologise lady

Hapo DNA ilitakiwa kuthibitisha, ili afunge domo lake !! Halafu tatizo shemu yenu hakusoma..maana urithi wa damu ya mtoto ni wa babu saba (7) moja kwa moja atakuwa mwarabu !!

DNA kwani mzaramo hata hela ya kufanyia DNA anayo??? aanze kuwapa gharama watu, aambae aje msoga tufanye kilimo bhana.
 
Jamani hii thread mhhh??Ngoja tu nikae kimya.Please Tyta givuu miii gilasi of wota pulizii
 
Last edited by a moderator:
inategemea imepita kipindi gani kama ni zaidi ya siku 90 yani miezi 3 hapo kasheshe...na pia kama ilikuwa ni talaka 3 pia ni mtihani...nimeona wewe ni muislam nikakujibu kidini zaidi...
 
Ndoa za kiislam huwa jamaa wanaoa kwa ajili ya kuonja tu halafu wampiga chini demu. Ni km maigizo tu???
ila za kikristo ndio za kudumu kama za kina flora mbasha, lady jd, mzee ipp na raisi wako mstaafu etc
 
ila za kikristo ndio za kudumu kama za kina flora mbasha, lady jd, mzee ipp na raisi wako mstaafu etc

Hizo ulizotaja zipo very stable na hawawezi, hao waume na wake zao ni mpaka kifo sabudi
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndio mume mponza hata nyumba mumempa - bahati ilioje hiyo ndio maana akajipanisha thamani.
 

amerogwa!! Ati nini?huyo ndye mchawi anataka kuroga kuwaseparate kati ya maagano ya mungu kwa binadamu kuwa tusizini bali tufunge ndoa kwanza. Sasa naona ananyemelea ili wahairishe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…