Ana matumaini ya kwenda na Nabi aendakoKaze na yeye alijifanya kuvimba baada ya Nabi kuvunja mkataba
Sijui labda tumuulize Jonas mkudekwanini makocha wa utopolo wana struggle sana kupata kazi baada ya kuondoka utopoloni??? yaani kocha simba anaondoka saa 8:00 kamili saa 8:02 ameshapata kazi sehemu nyingine nzuri zaidi
Aje kuwa kocha msaidizi, kocha mkuu keshapatikana.Atarudi Yanga