King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,891
- 95,214
I'm ray charles to the bull-ish.
Hujui sheria......u have the right to remain silent....anything you say will be testified against you.....you have the right to call ur lawyer...... hata haya huyajui?
kama ni mwakilishi wenu mwacheni aende atawawakilisha tu. Ninyi mnaenda kufanya nini wakati hamjaitwa? Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Atajuaje wakati anawahi buku 7?Hujui sheria......u have the right to remain silent....anything you say will be testified against you.....you have the right to call ur lawyer...... hata haya huyajui?
ajulie wapi huyu mbulula class 7;tisheti kijani imepauka mgongoni,haoni uchungu,anauziwa dawa feki wakati wapemba wakipelekwa Appolo india kwa hella za manispaa za bara
Mkuu, usilete utani kwenye mambo ya msingi
wananchi wanapata madhara makubwa toka kwa majambazi, vibaka, wezi, waporaji, wavuta bange, walevi, mashoga/wasagaji, wa chadema.
nimeandika upuuzi, nawe umesoma upuuzi, nani mpuuzi zaidi?
Aliyeandika ni mpuuzi,na kwa yule atakayesoma akagundua kilichoandikwa ni upuuzi basi huyo ni mjanja mara 800,ila kama ukikubaliana na upuuzi basi unakuwa mpuuzi kuliko aliyeandika mara 1000000
aliyeitwa polisi aende. Ambae hajaitwa asiende.
Kawaambie magamba wenzio si makamanda wa ukombozi.CHADEMA twendeni central police kumsindikiza kamanda wetu wa anga.
Na wapigwe tu wakienda na fujo zao huko polisi