Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,690
- 20,742
Huko nyuma gram 50 za Africafe zilikuwa Tsh 4000. Leo hii zimefika 7,000!! Utafikiri hatulimi wenyewe. Kwa hizi hesabu kilo ya kahawa itakuwa Tsh 140,000.
Laki moja na arobaini! Nadhani wakaanga kahawa wa kitaa wanahitajika kwa wingi.
Laki moja na arobaini! Nadhani wakaanga kahawa wa kitaa wanahitajika kwa wingi.