Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,362
- 1,006
Bidhaa za Katoro hazifatwi Mwanza wala kahama, Katoro ni bandari kavu, maeneo yote jirani ikiwemo na GEITA TOWN wanafata bidhaa Katoro 🤗😂😂 usiichukulie Katoro too light 🤗ðŸ¤Blaaa blaaa 😂😂😂😂
Onyesha hapa kampuni za Katoro-Dar ndio mjadala uendelee.
Mnatukuza wapi? Kahama na Mwanza? 🤣🤣